Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 5,360
- 11,505
Hili swali nmeulizwa leo na mzee mmoja ambaye ni kutoka Zanzibar. Lakini anasema amezunguka sana Tanzania kikazi. Huyu mzee ni fundi mzuri sana wa Mercedes Benz.
Anasema amezunguka almost Tanzania nzima kwa sababu ya kazi hiyo ambayo ipo damuni. Akiwa ananifanyia service huku akibadilishana maneno mawili matatu na vijana akanishirikisha kwenye maongezi kwa kuniuliza.
"unadhani kwa nini Zanzibar,Mombasa na Tanga kuna idadi ndogo ya wanafunzi wanaopata ujauzito?" Swali lake lilinishtua kidogo nikaamua kuvuta tafakuri kabla sijajibu.
Yeye alikuwa na jibu sababu anasema ana uzoefu mkubwa sana na maeneo hayo anajua nini sababu. Baada ya majadiliano Mzee huyu anayejulikana kwa aka ya Mzee Abuu Bakora. Akaamua kufunguka.
Mambo ni mazito.nkawaza niwashirikishe wana JF Pengine wanaweza kuwa na mchango katika hili.