VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,135
- 17,802
Hii kali"Hii nchi ni tajiri sana, sioni sababu ya kutegemea misaada".
Alisikika kichaa mmoja akijitapa ktk makazi yake FUONI huko Mzizima ktk nchi ya "Ujinga Utaisha Lini".
Sichangii tena maafa Tanzania,tumechangia waathirika lakini tunaambiwa fedha zinajenga miundombinu,sisi hatukuchangia miundombinu?God forbids! Lakini, yawezekana kukatokea kama yale ya tetemeko la Kagera au yanayofanana na yale. Kutaundwa tena Kamati ya Maafa. Kutafunguliwa tena akaunti ya kuchangia waathirika. Je, watanzania wataambiwaje ili wachangie tena kama kwa wanaKagera?
Iko wazi kuwa pesa zilizochangwa na walioguswa na maafa yale ya tetemeko zitaishia 'kukibeba' chama chetu cha CCM kisiasa. Ingawa inadaiwa kuwa 'Serikali' inajenga na kukarabati miundombinu yake, utakapofika uchaguzi (kwakuwa Serikali ni ya CCM), CCM itatamba kujenga!
Wachangiaji wa nje ya nchi nao wanajisikiaje ikiwa walivyoambiwa sivyo ilivyofanyika? Yaani, michango ilikuwa ya waathirika lakini imeishia kukarabati miundombinu ya Serikali. Bajeti za miundombinu zinazotengwa kila mwaka kwa ajili ya miundombinu zimechwa pembeni.
Imesemwa kuwa kila mtu abebe msalaba wake.Msalaba wa wanaKagera ni malazi, mavazi na chakula chao. Msalaba wa Serikali ndiyo michango ya waathirika? Naungana na Mzee Mwanakijiji kuwaambia waliochangia waathirika wa Kagera kuwa 'wakome'!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
hahaha nashukuru mi sidanganyiki kirahisi kwa kweli kwenye hii nchi tena likija suala la fedha.Bora niende mwenyewe huko kwa wana kagera hata nikawanunulie bati chache kulikon nitoe fedha yangu kwenye mifuko ya ...........Funzo nililopata kwa misaada ya kagera sijui kama nitakuja kuchangia tena maafa
hii maada imetuchoshaaa wengineHii kali
Mzee Tupatupa
Mkuu, siyo kwa haya yaliyotokea!Binadamu ni watu wenye upendo daima, japo ni rahisi kukasirika ila ni wepesi kusamehe na wepesi kusahau ila sio kurudia makosa, hivyo hata maafa mengine yakitokea tena leo, watu bado tutachangia tuu ila this time ni lazima tuelezwe tunaombwa kuchangia nini kama ni wahanga au ni miundombinu.
Hivyo tutalazimisha kuwekwe matangazo ya michango miwili
1.Michango ya kuchangia wahanga wa tetemeko ambalo litaendena na picha za jinsi watu wanavyoteseka.
2. Michango ya kuchangia ukarabati wa miundo mbinu ya umma likiendana na picha za uharibifu wa miundombinu ya umma.
Hivyo kila mchangiaji atakuwa anajua kabla anachangia nini kama ni waathirika au miundombinu sio kuonyeshwa picha za wahanga jinsi watu wanavyoteseka hivyo watu kuhamasika kuchangia, lakini michango ilipopatikana kumbe ulikuwa ni ya kuchangia miundombinu ya umma na sio waathirika.
Paskali
God forbids! Lakini, yawezekana kukatokea kama yale ya tetemeko la Kagera au yanayofanana na yale. Kutaundwa tena Kamati ya Maafa. Kutafunguliwa tena akaunti ya kuchangia waathirika. Je, watanzania wataambiwaje ili wachangie tena kama kwa wanaKagera?
Iko wazi kuwa pesa zilizochangwa na walioguswa na maafa yale ya tetemeko zitaishia 'kukibeba' chama chetu cha CCM kisiasa. Ingawa inadaiwa kuwa 'Serikali' inajenga na kukarabati miundombinu yake, utakapofika uchaguzi (kwakuwa Serikali ni ya CCM), CCM itatamba kujenga!
Wachangiaji wa nje ya nchi nao wanajisikiaje ikiwa walivyoambiwa sivyo ilivyofanyika? Yaani, michango ilikuwa ya waathirika lakini imeishia kukarabati miundombinu ya Serikali. Bajeti za miundombinu zinazotengwa kila mwaka kwa ajili ya miundombinu zimechwa pembeni.
Imesemwa kuwa kila mtu abebe msalaba wake.Msalaba wa wanaKagera ni malazi, mavazi na chakula chao. Msalaba wa Serikali ndiyo michango ya waathirika? Naungana na Mzee Mwanakijiji kuwaambia waliochangia waathirika wa Kagera kuwa 'wakome'!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam
Kwani zile shule na hospitali na vyote vinavyo karabatiwa vinatumiwa na kina nani?God forbids! Lakini, yawezekana kukatokea kama yale ya tetemeko la Kagera au yanayofanana na yale. Kutaundwa tena Kamati ya Maafa. Kutafunguliwa tena akaunti ya kuchangia waathirika. Je, watanzania wataambiwaje ili wachangie tena kama kwa wanaKagera?