P Paf JF-Expert Member May 25, 2021 1,703 3,304 Jun 5, 2021 #1 Nini maana ya KIAPO? Nini maana ya KINGA? Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga. Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria. Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
Nini maana ya KIAPO? Nini maana ya KINGA? Viongozi wetu wa mihimili yote mitatu na wakuu wakisiasa huapa huku waendako kutumikia kukiwa na kinga. Mwananchi anafaidika au anapunjwa kisheria. Wabobezi karibuni na nini kifanyike.
Gamba la Mbu Senior Member Jun 28, 2020 160 417 Jun 5, 2021 #2 Inashangaza kweli mkuu aseeh... haina maana ya kuapa as long as hata ukikiuka kiapo huna cha kuulizwa wala cha kujibu.
Inashangaza kweli mkuu aseeh... haina maana ya kuapa as long as hata ukikiuka kiapo huna cha kuulizwa wala cha kujibu.