Swali dogo lakini kubwa sana

Swali dogo lakini kubwa sana

Tlmau

Member
Joined
May 12, 2019
Posts
11
Reaction score
14
Kuwa mkweli hivi uli survive vipi kile kipindi unemaliza chuo,umekaa nyumbani Kama miaka miwili hivi haujapata ishu ya maana, na hata vitu vyako vidogo ulivokua unafanya vilifeli.

Ulifanyanye ilipofika kile kipindi hata wale wanao wa karibu walianza kukukataa kuona kwamba utakua mzigo kwao,kipindi wao wamepata deals na kimuonekano unaona wanafanya vizur..

Ulifanyaje kuepuka msongo wa mawazo na kufika hapo ulipo leo..?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom