Swali: Diamond Platnumz na Wema wanafanya nini mjini?

Money Penny, ww chizi ndio maana umepigwa ban, yaani thread moja umeifungua mara mbili au Kuna jibu lako unalitaka. Snoop dog anauza bangi hivi unalijua hili, cristian Ronaldo anauza boxer unalijua hili kwa kumalizi nenda Forbes kaangalie list ya matajiri 50, Kuna mama (Jaqueline Mars ana utajiri wa dola billion 23.5) utajiri wake umetokana kwa Kuuza pipi. Kupitia karanga, perfume na WCB, TRA inachukua kodi ambazo zinajenga barabara, mahospital, shule nk na vilevile watu wamepata ajira, hauoni kama ameisaidia jamii. Sasa ww unataka nini au unataka mpaka aisaidie familia yako ndio ujue anaisadia jamii. Tatizo la vijana wengi wa kitanzania, wanapenda maendeleo lkn hawapendi kujifunza, kupitia kwa walioendelea na wenye mafanikio zaidi ya kujenga majungu, fitina, chuki na wivu. Huu uzi uliufungua usiku, mpaka saa nane unajibishana na watu, leo tena HIVI HUNA KAZI YA KUFANYA. Alafu ww unajifanya mjanja, "eti mimi sifuatilii mziki wa Tanzania", kumbe mweupe huna inachokijua, kama ikiwezekana JF, ikupige ban maisha.
waliofanikiwa kimaisha wanasema usimdharau mtu...we mpe tu score zake tu inatosha yy kafunguka kulingana na uelewa wake
 
message sent. Naona una capitalize on my grammatical mistake (I call it a typo) (I mean't in poverty) na huo ndo uwezo wako ulipoishia you can't discuss further than that. Si ukafanye sustainable development ambaye unajua maana yake sio kuongea ongea tu. Kuongea rahisi sana. Badala ya wewe kuchukua hatua kufanya ambacho ni sahihi unawalaumu wengine kwaninin hawafanyi. Wewe ambaye una mwanga zaidi ya Diamond mbona hufanyi hayo unayoyaongea au kukosoa wengine ni rahisi zaidi kuliko kujitathmini?
Huna la mana uliloandika nimekuignore

Rudi kwenye uzi ujue unahitaji nini ukinisemesha vbaya haisaidii mana sio mimi nauza karanga wala naimba

Anywho mje huku
si bora nazi mia nne tajir baressa anauza maandaz mia mia ye anashangaa nn

patakufaa Mume Wangu aki-cheat Nafurahi Sana...
 
We endelea tu kufuatilia celebrities wa Marekani huku bongo tuachie wenyewe, unataka wasanii wajenge hospital wakati hata pesa za matibabu mpaka tuwachangie labda na hizo za ujenzi tuwachangie.Hivi unajua Wema mpaka leo anaishi nyumba ya kupanga? Huku mastaa wetu utajiri walionao ni umaarufu tu
 
kwasababu mnaleta uakili finyu mkipata hela mnaanza kutambia wananchi ndio maana serikali yenu inawafungia miziki

tumieni akili kama wanamziki wa ulaya... wanaimba kwa akili

ukila na kipofu usimshike mkono jamaa!
 
Diamond ni Brand hizo Karanga hata hajui zinavyopatikana Wala packaging yake yeye Anachojua ni Anavuta Pesa kiasi gani kwa Hizo karanga kuwa named na Brand yake yani Diamond Karanga , Apo amefanya namna ya kuuza Jina lake ktk hio Bidhaa ila hana mahusiano nayo kabisa katika inshu ya Manufacturing
 
tunajua

sasa kwanini anagombea percent na yule owner wa Clouds Fm? ujinga mtupu
 
Shida yako ni mawazo mgando. Mondi alichotazama ni bidhaa ipi nje ya muziki inaweza kuwa na soko kubwa kwenye mazingira yetu ya kila siku. Mimi namwona Mondi kama mjasiriamali mwenye maono. Kuna siku Mo Dewji alihojiwa kwenye kipindi cha Mkasi EATV akasema namna hivyo vitu vidogovidogo vinavyoleta faida hususani bidhaa za chakula. Mondi anajua hawezi kuwa kwenye chati ya muziki milele.
 
wewe ni kilaza hakuna tena

Cha maana alichokifanya ni kuanzisha hio TV STATION
lkn mwache tu na bado watamfungia tu aache ujinga na ulimbukeni acheze na jamii asilimia 100 aone kama Serikali itamfungia
 
wewe ni kilaza hakuna tena

Cha maana alichokifanya ni kuanzisha hio TV STATION
lkn mwache tu na bado watamfungia tu aache ujinga na ulimbukeni acheze na jamii asilimia 100 aone kama Serikali itamfungia
Jamii ipi unayoisemea wewe? Kila mtu kwenye jamii ana vitu anavyovipenda. Kuna tunaopenda kuziona hizo maungo kwenye vichupa vyake.
 
Back
Top Bottom