Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 14,188
- 40,009
[emoji15][emoji15]
Sio mbobezi ni sawa na makarani wanaofanya mahakamani kwa muda mrefu ambapo baadae hujigeuza mawakili wakati hawana sifa hizo. Jasusi mbobezi hajisifu wala hawana kiburi kama alivyokuwa yeye[emoji15][emoji15]