Swali chokonozi: Membe ni Jasusi Mbobezi au Doezi?

Mimi mpaka leo sielewi ni kwa nini Hangaya anadhani anao uwezo wa kutuongoza? Hivi wewe umeshamuona akiongelea jambo lolote ambalo ni intuition yake ukiachilia kuandikiwa?
Hii ni sawa na kuachiwa Mali ya urithi huku aliyeachiwa alikuwa hajui mzazi wake alikuwa anafanyaje.
 
Mabaya ya Membe,hayafuti ukweli kuwa Maghufuri hakustahili kuwa hata waziri achilia mbali Raisi wa nchi,Katika makosa tuliyofanya ni kuruhusu Maghufuri awe Rais.

He was a mad man,jitu lisilo hambirika,baguzi la kikabila.

Siku lilipotoa hotuba kwenye chombo cha kitaifa kwa kisukuma,hapo niliona nchi imeingia Cha kike,Jamaa lilikuwa Ikulu,lakini lilikuwa na Mawazo kama katibu kata.

Kila leo propaganda kibao "tunatekeleza"tunajenga kwa pesa za ndani,kumbe uongo mtupu.sasa deni lipo tilioni 78!!kwa miaka 5,amekopa kuliko Kikwete alivyokopa kwa miaka 10?
 
how it's always been done, doesn't mean that it is right. YOU OWN your OWN time, your OWN successes, and your OWN path. Samia is Samia (Present) likewise Magufuli was Magufuli (Past).
 
Membe ni jasusi la kimataifa aliyesomea Scotland Yard. Sio mtu mchezo mchezo. Kumuulize DG mstaafu alidai kutibiwa mkewe Canada.
 
Membe licking nobody's balls. Ana madhaifu yake. Na hayafanyi jiwe wala hangaya kuwa wa muhimu sana. Wote hovyo tuu..

Tunataka katiba mpya inayokidhi matakwa ya wananchi
 
Anahangaika na post trauma ya kuangushiwa kitu kizito cha mjomba magu. Yule mjomba alijua kuminyia chini gizani ile kitu inaitwa induced suppressed pain hulii wakati unabinywa, kilio ni baadae wakati tukio lishakwisha..we need another magu
 
Mi nadhani Membe aheshimiwe kwa maoni yake!ametusemea Wengi sana na pia Ameonyesha UOZO wa idara ya kijasusi na DEEP STATE kwa kushindwa kufanya upembuzi yakinifu wa mteule wa ugombea URAISI ANAEFAA Kutuvusha!!!!KWA JPM WALIFELI SANA!HATA MEMBE AMESEMA KWA JPM TULIFELI!!!
Membe na Jiwe wanajuana, ila najiuliza kwanini Membe anakuwa huru kusema alifanya kazi TISS,nimemsikia zaidi ya mara moja wakati wenzie mfano Mahiga,Mlema huwa hawasemi
 
Membe licking nobody's balls. Ana madhaifu yake. Na hayafanyi jiwe wala hangaya kuwa wa muhimu sana. Wote hovyo tuu..

Tunataka katiba mpya inayokidhi matakwa ya wananchi
upo sahihi sana, mi naamini Jiwe angekuwa hai mpaka sasa isingepita week naye akamchamba Membe lazima jiwe aliyajua mengi mabaya ya Membe
kwa nilivomfahamu jiwe,ni kweli ana tabia alizosema Membe,na lazima alimbania Membe kwa sababu alijua fika Membe amefanya kitu au anataka kufanya kitu
cha muhimu ni kama ulivosema,katiba Mpya
 
Katiba mpyaaaa

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
Mimi mpaka leo sielewi ni kwa nini Hangaya anadhani anao uwezo wa kutuongoza?
One thing, alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza bila shaka ni baada ya kuonekana anao uwezo. Mtendeeni haki kwa hilo.

Hakufika hapo kwa hila kama walivyojaribu kufanya kina membe, lowasa nk.
 
Anahangaika na post trauma ya kuangushiwa kitu kizito cha mjomba magu. Yule mjomba alijua kuminyia chini gizani ile kitu inaitwa induced suppressed pain hulii wakati unabinywa, kilio ni baadae wakati tukio lishakwisha..we need another magu
Really
 
One thing, alipoteuliwa kuwa mgombea mwenza bila shaka ni baada ya kuonekana anao uwezo. Mtendeeni haki kwa hilo.

Hakufika hapo kwa hila kama walivyojaribu kufanya kina membe, lowasa nk.
Tuwe tunatoa mahitimisho baada ya Tafakari ya kina. Hivi kweli vigezo vilivyotumika Ni Vigezo vinavyopita Upeo wa Mashaka?
 
Back
Top Bottom