Tulipofika CHADEMA ni kama chama cha Tanganyika, ACT ni Chama cha Zanzibar na CCM ni chama cha Muungano

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,005
142,040
Ukweli mchungu japo Zitto Kabwe na Abdul Nondo naweza kuwakwaza lakini ACT Wazalendo ndio chama chenye Nguvu Zanzibar na ni chama chao kwa sasa, Wabunge na Wawakilishi wote ni Wazanzibari.

Na huko Kanda ya Ziwa Victoria kama sampuli tumeiona CHADEMA inavyokubalika kwa Watanganyika

CCM inabaki kuwa Chama cha Muungano wa TANU na ASP

Ahsanteni!
 
Umewaza vema sana. Hofu yangu ni haya ma CCM,yalitakiwa kuwa katikati kulinda na kuunganisha nchi cha ajabu yapo bise kuuza mali za Tanganyika na kuitetea zaidi Zanzibar.
 
Kwa muunganiko huo mzuri wa CCM ndio maana Kila siku twaambia, CCM ipo kutawala Tanzania labda mpaka pale Vyama vingine vitakapojitambua!
 
Back
Top Bottom