Vyama hivi viwili vimekuwa vikituhumiana kwa muda mrefu juu ya chama gani kinazalisha, kinalea ama kutukuza ufisadi.
1. Chadema wanaituhumu ccm kuwa na kitovu cha ufisadi, mafisadi na kila aina ya wizi unaofanyika serikalini (wanatoa uthibitisho Wa matukio makubwa ya ufisadi yaliyopata kujiri hapa nchini)
2. ccm wamekuwa wakiituhumu chadema kuwa inatetea na kupokea mafisadi hasa pale wanapotumbuliwa (wanatoa uthibitisho pia). kwa mantiki hii ccm wanadai kuwa chadema wamezika ile ajenda yao ya kupinga ufisadi
sasa swali langu ni kwamba kama kosa la chadema ni kutetea wanaccm wanaotumbuliwa kwa sababu ya ufisadi, na kama kosa la ccm ni kuwa kitovu cha ufisadi na mafisadi, kipi hasa ni chama cha mafisadi?
Naomba tusaidiane kujibu swali hili wanajf.
Nawasilisha