Swali Chefuzi: Kwanini grade ya Division Five iliondolewa?

MIXOLOGIST

JF-Expert Member
Mar 1, 2016
12,695
31,485
Amani iwe nanyi katika kipindi hiki cha mifungo ya kwaresma na ramadhani.

Tuendelee na toba na sala/dua ili mwenye enzi Mungu atusamehe dhambi zetu pamoja na adhabu na laana zake, ili mwisho tuurithi ufalme wa mbinguni.

Tafakari yangu ya leo imenipeleka kwenye ubunifu wa viongozi wetu, haswa wale wenye dhamana na elimu. Walituletea grading ya ufaulu iliyotambuliwa kama DIVISION FIVE.

Hii grading kwa haraka haraka it looks so amazing. Ila kiuhalisia ni very poor grade. Sasa kinachoshangaza, hii grading style or system ilikua abandoned

Swali chefuzi, kwanini iliwekwa at first place? Na wale waliopata division five mustakabali wao ukoje?

Ukienda kwenye uzi wa kula tunda kimasihara, wahitimu wenye division five wako wengi sana.

Wale wenye kujua jambo moja au mawili kwenye hili la division five wwatujuze.
 
NI USHAMBA TU, WAULIZE WAZEE WA KABLA YA 1987 KAMA KULIKUWA NA DIV 0. ME NAONA HII DIV 5 INGEACHWA KAMA SEHEMU YA KUMPA MTU DARAJA LA KUSOMEA KOZI KAMA KILIMO, DRIVING, MICHEZO PAMOJA NA DIVINITY.
 
Back
Top Bottom