Komando mwenyewe kama mimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1189043
Choo ya JKT.
Haaah 😆😆 HKL-Hakuna Kusoma Lakini🛌Nimetoka kuoshea mikono hapo, hiyo pia ni kazi.
Hiyo sehemu inatumika pia maabara. Waliosoma Chemistry/Physics/Biology/Agriculture Sekondari wanazijua sehemu za namna hiyo maana lazima wamefanya majaribio kwa vitendo.
Ila kwa wale waliosoma shule za kata ambazo hazina maabara na hawakufanikiwa kusoma masomo ya sayansi kidato cha 5 na 6 hawawezi kuzijua hizo sehemu kiurahisi.
HKL= Hakuna Kuingia Laboratory(sio mimi nimesema, kuna mtu hapa kasema)[emoji3]
Choo ya kininja
Kama sink eti[emoji23]Daah[emoji28]
Komando mwenyewe kama mimi[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]View attachment 1189043
choo cha Salome akiwa kazini asiangaike wakati wa kuosha glass