Swala la Ulimboka kwa TBC sio habari!?

tanira1

JF-Expert Member
Nov 18, 2011
942
159
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha
 
Sisi tulishaacha kuangalia TBC siku nyingi. Na pia tulishawaambia ma Sponser waache kusponser TV pumbavu, nafikiri hawana muda watakufa kama mashirika mengine yaliyokuwa chini ya CCM na serikali yake. Vilevile mbona Issa Michuzi Blog inatuwekea Birthday na Malibeneke?
 
Tbc sio tv ya watanzania japo inaendeshwa kwa kodi za watanzania ewe Mungu wetu tunaomba utuondolee mambo haya, Amen
 
TBC ni nini, nmesahau, hebu nikumbushe, au ni ile kampuni inayochapisha gazeti la udaku uhuru.
 
Sasa huyo mnafik aliyetiwa adabu na wananchi wenye hasira ndio iwe habari?
 
Mkuu mi nilishaacha mda mrefu sana kuangalia TBC, TBC ni wapuuzi sana huwa wananipa hasira sana nikiangalia habari zao nikaona dawa ni kuacha kuangalia tu Tbc
 
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha

Usiumize kichwa Comrade kuhusu TBC Hao ni maajent wa waliomteka Uli iweke number 100 huko iwe chaguo la 100
 
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha

TBC kuna ufisadi wa kufa mtu hivyo hawana ubavu wa kuiudhi sirikali, inabidi wajipendekeze mwisho
 
Kwakweli TBC haitutendeia haki kabisa. haiwezekani media zote ziripoti wao wakae kimya. watu wana cm hata kama ni za mchina wanaaces manews. Maamuzi mengine jamani. Tbc ukweli na uhakika, Tido aliondoka na hiyo slogan wanawakiwa watafute mpya yao. We non-politicians tunashindwa kufahamu hv mnalipwa kwa lipi? hata habari zao kila siku lazima waombe radhi oh tutairudia hii habari baadae. Tbc what a media house.
 
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha

Wananchi wanakufa mahospitalini kwa sababu ya ulimboka hamsemi, ila yeye kupigwa kidogo tu na watu wenye hasira kali mnapiga kelele keleleeeee
 
Sasa huyo mnafik aliyetiwa adabu na wananchi wenye hasira ndio iwe habari?

mkuu siku zote inabidi ujifunze njia mbili kuu za mabadiliko, Njia rahisi au Njia ngumu...madaktari wamechagua Njia ngumu lakini mwisho siku mabadiliko yatapatikana
 
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?

nawasilisha

Hata kipindi cha harakati nimesikiliza sijasikia chochote kuhusu Dr. Ulimboka. Inaelekea kuna mkono wa mkubwa pale!
 
Back
Top Bottom