tanira1
JF-Expert Member
- Nov 18, 2011
- 942
- 159
wakuu tangu nimepata taarifa za kujeruhiwa vibaya kwa kiongozi wa madaktari nimeona star tv na itv wanatoa mara kwa mara kwenye habari kwa ufupi lakini hii tbc hiyo siyo habari nimeangalia taarifa zao mbili mchana huu habari kwao ni tamko la selikali juu ya mgomo huo hapo kesho hawa wehu wanamfanyia nani kazi?
nawasilisha
nawasilisha