rafikimkweli
JF-Expert Member
- Sep 5, 2013
- 349
- 121
mimi nadhani kuna watu wana laana za ukoo, haiwezekani mtu ameajiriwa ofisi very reputable lakini bado anakopa kopa tu kila mara, just imagine leo tarehe 8, tayari mtu ameshaishiwa, mtu anamfuata mtu mpaka hospitali kukopa??
U tell the guy , i am at the hosp subiri, he can't even wait, anakufuata mpaka hospital kuchukua hela.
Mnisamehe but kuna watu very annoying kwakweli.
Nakaa kufikiri naona kuna laana za ukoo katika baadhi ya mambo, kama haya ya kuomba omba hela wakati umeajiriwa.