Twilumba
Platinum Member
- Dec 5, 2010
- 13,677
- 16,698
Kama ulikuwa huna ungemwambia tu mwenzio atafute namna nyingine ya kujikimu! kuliko kuleta hapa mtandaoni,hufai hata kidogo,unajua alikuwa ana shida gani? Nawachukia sana watu kama nyie, machoni kama watu mioyoni hawana utu!!! jamaa yako hana rafiki hapo!!!!!!!!!
Leo umetoa siri ya rafiki,
kesho utatoa siri za chumbani!