Swahili didnt borrow from other languages | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swahili didnt borrow from other languages

Discussion in 'Jukwaa la Lugha' started by Amir, Apr 19, 2011.

 1. Amir

  Amir Member

  #1
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  There is a misconception that Swahili borrowed some of the terms or words from other foreign language.the truth is those foreign languages actually borrowed from us.

  One thing for sure, 100% of Swahili grammar is pure African language.

  Second the first language to be spoken in this earth it was African language.eg semitic.nobody must lie to you that semitic is Asian of the Canaanites, Phoenicians or Hebrews or even Arabic.

  Semitic is pure African and the best part of it,it was spoken in eastern Africa, Ethiopia, Somalia, Kenya , Tanzania and Sudan,

  The people of kush,that means Ethiopia and somalia stuck with the original language of the world with its originality, Amharic,tigrinya and somali languages.those are some of the original semitic language remaining.

  Now ,becouse of trade people of the southern part,especially the bantus modernized their language so they can be able to deal with the foreigners and thats how swahili was born

  example the word salaam.its pure african.amharic,swahili,arabic.and even hebrew use it

  i even found out kiberiti its amharic.

  So kiswahili its pure African use terms/words from other African language and didnt borrow from i don t know Hindu or Arabic.

  My fellow brothers/sisters you will be surpised to know that arabic is actually pure african language but we were made to believe it originated in middle east.Thats topic for another day.good day
   
 2. Gurta

  Gurta JF-Expert Member

  #2
  Apr 19, 2011
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 2,246
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Huu uzi ungekuja kwa hicho kiSwahili ingekuwa na mantiki zaidi, maana zaidi, ingewakilisha unachotaka kukieleza kwa upana zaidi.

  Vinginevyo nahisi utakuwa ni wale wale wanaofikiri kiSwahili 'hakijitoshelezi'. Kuniumbua tasfiri na ulete uzi huu ukiwa kwa kiSwahili.
   
 3. Amir

  Amir Member

  #3
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Hapo kweli.lakini naomba kama kuna mtu aneyeweza fasiri,basi nitashukru kwa sababu nisoweza sema
   
 4. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #4
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Nimejaribu kutafsiri kwa kutumia Google. Matokeo yake ni kama yafuatavyo:


  Kuna mbaya kwamba Kiswahili zilizokopwa baadhi ya masharti au maneno ya kweli za kigeni language.the ni wale lugha za kigeni hasa zilizokopwa kutoka kwetu.

  Jambo moja kwa hakika%, 100 wa sarufi ya Kiswahili ni lugha ya Afrika safi.

  Pili ya lugha ya kwanza kuwa amesema katika dunia hii ni Afrika language.eg semitic.nobody lazima uongo kuwa Semitic ni Asia ya Wakanaani, Phoenicians au Waebrania au hata ya Kiarabu.

  Semitic ni safi Afrika na sehemu bora ya hayo, ni aliyosema katika Afrika mashariki, Ethiopia, Somalia, Kenya, Tanzania na Sudan,

  Watu wa kush, kwamba maana ya Ethiopia na Somalia kukwama kwa lugha ya asili ya dunia na uhalisi wake, lugha ya Amharic, Kitigrinya na languages.those Somalia ni baadhi ya lugha ya asili Semitic iliyobaki.

  Sasa, kwa sababu ya watu na biashara ya sehemu ya kusini, hasa bantus ya kisasa katika lugha yao ili waweze kuwa na uwezo wa kukabiliana na wageni na THATS jinsi ya kiswahili alizaliwa mfano neno salaam.its african.amharic safi kiswahili, arabic.and hata Kiyahudi matumizi yake i hata kupatikana nje kiberiti Amharic wake.

  Hivyo lugha ya Kiswahili Afrika masharti ya matumizi yake safi / maneno kutoka lugha nyingine za Afrika na didnt kukopa kutoka i don t kujua Hindu au Kiarabu.

  Ndugu zangu wenzetu / dada utakuwa surpised kujua kwamba Kiarabu ni kweli safi african lugha lakini tulikuwa kufanywa kuamini ni asili katika mada katikati east.Thats kwa siku nyingine day.good
   
 5. Amir

  Amir Member

  #5
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Afadhali nijaribu mwenyewe


   
 6. S

  Simbamwene JF-Expert Member

  #6
  Apr 19, 2011
  Joined: Jun 22, 2008
  Messages: 287
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Swahili uses words like Mahakama which is Mahkma in arabic, Shilingi which is Schilling in German, Ijumaa which is aljumaa, Alfajiri which is the same in Arabic so which swahili did not borrows foreign languages words?
   
 7. Amir

  Amir Member

  #7
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  now that where you are wrong,if you read my post,the origin of arabic/hebrew is semitic language,the first written and spoken language in this earth,with the originality in eastern Africa.so if semitic was spoken in eastern africa ,thousand years ago before arabic was formulated .tell me who borrowed from who
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Apr 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Lugha ni kitu hai ambacho kinachukua na kutoa kutoka katika jamii iizungukayo. Kuna ukweli pia Kiswahili kimekopa maneno ya kigeni hadi kukifanya kukua kama tunavyokifahamu hivi sasa. Maneno machache tu, tuliyokopa kutoka kwenye lugha zingine ni kama:

  Kijerumani:
  Schule-shule
  klingel-kengele

  Kireno-meza
  Kiingereza -baiskeli
  na kadhalika. Sababu mojawapo ya kukopa maneno ni pale ambapo inapotokea kuwa kitu ama dhana fulani haikuwepo katika jamii, hivyo basi neno la lugha ya kigeni linatumika. Kiswahili pia kimekopesha maneno kwenda lugha nyingine. Kwa mfano neno 'safari' linafahamika kwa kiingereza kuwa ni ziara ya kutembelea mbuga za wanyama.

  Hivyo basi, ili lugha ikue, inahitaji kuchukua maneno mapya kutoka lugha zingine, kutokana na mazingira ambayo yapo kwa wakati huo.
   
 9. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #9
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hehehe.. Amir, taratibu kwanza!
  endelea .. kusoma hapa Historia ya Kiswahili - Wikipedia, kamusi elezo huru alafu rudi jipange njoo na hoja mpya kwa kiswahili.. maneno ya kizungu ya kiwa mengi yannichosha kuyasoma.. tehethe
   
 10. Amir

  Amir Member

  #10
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  makosa kubwa ni hatujui historia yetu sisi waafrika,historia zetu zimefanywa kuandikwa na wazungu,unakuta mambo mengi tunadagywa ili wao wazungukaji wajinufaishe na kuwapotosha waafrika haswa kizazi kitachofuata.

  Kiswahili kilikuwepo hata kabla ya hao waaarabu kuja(lakini kumbuka asili ya mwarabu ni afrika ndo maana kiarabu kinazugumwa afrika kuliko popote duniani)

  ukweli ni kuwa ukieenda hata congo utakuta wanasema kiswahili aina fulani hivi,sio mwarabu alipeleka kiswahili humo.kiswahili kilikuwa tangu jadi,na waafrika walikuwa wanakiongeo.maana ni lugha asili yake afrika mashariki.

  kiswahili ni lugha mchanginiko wa lugha za kiafrika ndo maana unaweza kuelewa lugha nyingi afrika kwa uchache.mbili au tatu hivi ndo lugha za kigeni.
   
 11. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #11
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  dah ... sawa mkuu! shujaa wewe... me i will stick on wikipedia ...

  P.S - naona hoja zako hujazipanga vizuri.. ulianza na kiswahili hakija tohoa maneno kutoka kwenye lugha nyingine.. but kwa kukusaidia... kiswahili hakijaletwa na muarabu.. wala mzungu! bali kiswahili ni kibantu!! bantu ni lugha za makabila mbalimbali yanayopatika east na central afrika! ... ili kujikimu na kuwa lugha ya kibiashara kiswahili ilibidi kitohoe maneno mengi kutoka lugha za kigeni... mdau alishakupa mfano rejea post # 8.

  utajiuliza kwanini maneno mengi ya kiarabu ndiyo yametawala .. simply bcz ndugu zetu hawa ndio walikuwa maarufu kwa biashara ya utumwa... na ndio maana unaambiwa kiswahili standard based in unguja! The Swahili: reconstructing the ... - Google Books .

  Inshort kiswahili ni kibantu si kiarabu.. but kiswahili tumetohoa maneno mengi toka lugha nyingine...

  NB. nakumbuka kipindi nafanya NECTA form 4 nililitewa swali niandike Insha .."kiswahili si kiarabu bali ni kibantu" mkuu ile insha ilipata tabu!! .. nakushauri rejea na soma kuhusu bantu langauge na connection yake na kiswahili...
   
 12. Amir

  Amir Member

  #12
  Apr 19, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  haswa mimi kuandika hii thread ni kwa vile nimesoma baadhi ya post hapo ikisemakana sijui kiswahili kiimekopa wapi na wapi.mimi nasititiza kiswahili hakijakapo bali lugha zingine za kigenini ndo zimekopa maneno mengi ya kiswahili,kama kiarabu na khindi zimefanya kukopa kwa kiswahili,sio kama ulivyfunzwa na wikipedia au sijui google.ushanipata.

  hapo kweli kiswahili especially grammar is pure bantu.na sarufi ndo zinazo tengeza lugha.lakini the mother of all semitic languages in lugha za afrika mashariki,amharic,kiswahili,tigrinya na zingenezo

  baadaye am out for now i will continue later
   
 13. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #13
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145

  mkuu ninayokwambia mimi nilisoma kidato cha nne! katika historia ya lugha ya kiswahili... kubali kataa kiswahili kimetohoa maneno mengi kutoka lugha nyingine!.... hizi data zako mkuu unazitoa wapi..?!! hebu nifahamishe na mimi nikachungulie....
   
 14. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #14
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Hakuna lugha kubwa yoyote ambayo haijayohoa.

  Hilo neno lenyewe Swahili limetoka katika kiarabu "Suahel" maana yake 'wa pwani"

  Mtu yeyote anayejua Kiarabu atakuambia huwezi kutumia Kiswahili kwa muda mrefu bila kutumia maneno yaliyotoka katika kiarabu, mifano michache ni mwalimu, sheria, wilaya, hakimu etc.

  Hii hogwash umetoa wapi?

  Hebu soma hapa Swahili history
   
 15. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #15
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,526
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  Marastamen wakishavuta bange wanasema kila kitu kimetoka Africa!
   
 16. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #16
  Apr 19, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  maneno mengine ya kiarabu ni:
  asali
  jirani
  harusi
  samaki
  askari
  waziri
   
 17. Viper

  Viper JF-Expert Member

  #17
  Apr 19, 2011
  Joined: Dec 21, 2007
  Messages: 3,665
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  hahahahahaha... mkuu umefurahisha kweli..!! lakini jamaa wana enzi culture bana
   
 18. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #18
  Apr 19, 2011
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,185
  Trophy Points: 280
  Acha kamba wewe.

  Kiswahili hakikuwa na neno gereza kwa sababu kabla ya kuja wareno waswahili hawakuwa na magereza, walivyokuja wareno wakaanza kufunga watu katika "gereza". Kiswahili kikakopa si neno tu la gereza, bali waswahili wakakopa dhana nzima ya kumfunga mtu gerezani.

  Check your history, acha ushabiki.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 19, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Dunia, fikra, kahaba, mahakama, na mengineyo yote ni maneno ya Kiarabu. Kwa mzungumzaji wa Kiswahili, ukisikia Waarabu wanaongea hautatoka kapa kabisa.
   
 20. Amir

  Amir Member

  #20
  Apr 20, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Yaani nishaitwa mvuta Bangi,kweli jamaa wako gizani

  Halafu tena nikama hamnielewi,wacha nijaribu tena

  kama mama ya lugha nyingi duniani inaongelewa afrika mashariki mpaka leo
  itakuwaje kiswahili kimekopa na hali kiswahili kimeanza hapo hapo afrika mashariki.

  hii inaamaniasha kiswahili hakikukopa bali lugha zingine ndizo zimekopa katika kiswahili,sijui tunaelewana hapa

  ama kuna watu hapa wanaona sababu kiswahili kina kama lugha za kigeni wanajiona wao ni kama wameendelea sana kama vile ndigu zao ni wareno ama wejerumani na wahindi.upuzi

  lazima ujue utakako na historia yako uijue,usifunzwe mambo ya kukudhalilisha hivi ukifikiri uko sawa na hao wazungu,jua wageni hao wako chini yako,sisi ndo tumewafunza lugha na technolojia,tukitengeza pyramid na kuaandika sheria wao walikuwa bado wanaishi kwenye pango.

  eti mwingine anasema tulikuwa hatujui gereza,upuzi gani hiyo.

  hemu nenda nchi kama fiji mpaka china utakuta watu weusi,ukipata wazee wao na ukiwauliza mbona ni weusi ,watakwambia babu zao walitoka tanganyika,

  ikiwa waliweza kusafiri kwenda mpaka china wakati huo miaka maelfu,china wakati huo wanapiga mswaki na brush na washavumbua karatasi ya kuandika na wanafanya biashara afrika kabla hata ya mzungu kujua ramani ni nini.

  to be continued
   
Loading...