Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 29,483
- 40,498
Me na KeWalevi wa kike au wa kiume?
Unakuwa unapata farajaKuna raha gani ya kupewa majina mazuri wakati unajua fika kinachoongea muda huo ni pombe
Vita kati ya walevi na wanywa soda haijawahi kuishaWatumia juice njooni mtuambie... Ni kweli hamna swags?!?
Leteni swaga zenu tuzioneWanywa juice tutasema nn
Sijui kama tunaswaga kwa kweliLeteni swaga zenu tuzione
ha ha ha haya bakini na matatizo yenuSijui kama tunaswaga kwa kweli
ha ha ha wana uongo gani?Tatizo walevi waongo Sana..
Anaweza kukuambia anakupenda akiwa na pombe kichwani lakini ukawa uongoha ha ha wana uongo gani?
ha ha ha hao watakuwa wale wa juisi;wa pombe wengi huwa si wanafikiAnaweza kukuambia anakupenda akiwa na pombe kichwani lakini ukawa uongo
Drink beer to save water and fruit.Kuna raha gani ya kupewa majina mazuri wakati unajua fika kinachoongea muda huo ni pombe