Swaga za Polisi akitongoza...!!

Swaga za Polisi akitongoza...!!

Hapana boss mm si afande wala sijakasilika,ila nashindwa kuelewa mazingira yaliyokuwezesha kusikia maneno yote hayo wanavyotongoza jamaa zetu
Mkuu hengo, hili ni jukwaa la utani na udaku sehemu ya kupunguzia stress za kule kwenye siasa na za maisha. Usichukulie kila kinachowekwa humu ni kweli kimetokea, labda kama hujui maana ya utani.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom