Swaga za miwani

Nondoh

JF-Expert Member
Aug 26, 2016
298
478
Wengine wanapenda kutafuna biG G, wengine wanavunga kwa kuminyaminya simu au kuslide au sometime kujipigia Na kupoke. Zote hizi vunga. Namkumbuka bos wangu WA zamani akitaka kufoka siku ametibuliwa basi anavaa mawani..
IMG-20170210-WA0001.jpg
 
Hivi hata hivyo virungu vinaagizwa nje ya nchi?I mean tunatumia hela ya kigeni kuvipata?
 
Hivi hata hivyo virungu vinaagizwa nje ya nchi?I mean tunatumia hela ya kigeni kuvipata?
Kama stiki za kuchokonoa meno taifa limeshindwa kutengeneza sembuse hivyo virungu
 
Kama stiki za kuchokonoa meno taifa limeshindwa kutengeneza sembuse hivyo virungu
Dah!!!Na ukiyasema wazi mambo ya kijinga kama hayo eti waitwa mchochezi.Oooh!TANZANIA~Tanzania,AFRICA~Africa "watu wako wakulilia".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom