and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,225
- 39,710
- Thread starter
- #121
Gari ya kaziIpo vizuri...
Gari ya kaziIpo vizuri...
Hizi gari nadra kuzikuta Zenjigari ya kwanza kuendesha,nljkuta male,kitambo kidogo chato,nzuri sana.
IST new model ya 2022??[emoji23][emoji23]unaijua ist new model kweli?wewe unataja bei ya ist ya 2006. New model ya ist inachuana bei na akina qashqai uko hadi 18m..
Nimependa staili yako ya kuhoji/kuaibisha bila kumkera mtu.Hivi yale malori ya Dangote, nini kimefanyika mpaka wamewenza kuweka mitungi ya gesi? Inawezekana yalikuwa ni ya petrol?