Suzan Tsvangarai Killed in Car accident, Mr.Tsvangirai Injured..

Tukubali tu na mtu kama huyo anakubalije kusafiri kizembe hivyo? Au ndiyo zile tunaita mapenzi ya Mungu au kazi ya Mungu haina makosa??
 
Nimeamini siasa ni mchezo mchafu, hivi kweli huyu bwana baada ya kumpoteza mkewe mpenzi ataendelea kuparangana kutafuta vyeo anavyotaka?

Mimi ningeachia ngazi haraka sana.

RIP Suzan
 
Tukubali tu na mtu kama huyo anakubalije kusafiri kizembe hivyo? Au ndiyo zile tunaita mapenzi ya Mungu au kazi ya Mungu haina makosa??

...kizembe kwa maana ipi?

Nimeamini siasa ni mchezo mchafu, hivi kweli huyu bwana baada ya kumpoteza mkewe mpenzi ataendelea kuparangana kutafuta vyeo anavyotaka?

Mimi ningeachia ngazi haraka sana.

RIP Suzan

...maneno yaliyo katika kiapo ni pamoja na, "Naapa ya kwamba Nitalitumikia taifa langu Bila uwoga wala upendeleo Eeh Mungu nisaidie!"
 
Yaani hana msafara kama PM???

au hawaamini Mapolisi trafiki wakati yeye ni PM?

Kama angekuwa na msafara basi gari la trafiki lingetangulia na king'ora na kusimamisha haya magari yote ya mbele pamoja na hili lori!

RIP Suzan
 
Sad news. Wana JF asanteni kwa umahiri wenu wa kuleta habari.

RIP Suzan.
 
Kwani Sokoine hakuwa na security details?

Yawezakana ni ajali tu..na sii conspiracy!

Wakuu, wasi wasi wangu ni kwamba huyu jamaa asipoangalia watammaliza,, ina maana hakuwa na 'security detail' ....hadi agongane na lorry from nowhere? I mean inakuwaje mtu mzito kama PM awe involved kwenye such a serious accident?

wale wataalam wa mambo ya ulinzi nadhani mnaweza kutupa mwanga kidogo lakini binafsi nina wasi wasi na aina ya ulinzi anayopewa Morgan. By the way ni busara wao kupanda gari moja?

Yaani hana msafara kama PM???

au hawaamini Mapolisi trafiki wakati yeye ni PM?

Kama angekuwa na msafara basi gari la trafiki lingetangulia na king'ora na kusimamisha haya magari yote ya mbele pamoja na hili lori!

RIP Suzan


Mkuu Mzalendo, umebadili mawazo leo au inakuwaje....
 
...wajemeni eeh, Tsvangirai anatumia escort ya MDC, badala ya escort ya serikali kwa sababu zake za "kiusalama", na wale wanaoshabikia conspiracy theories, hilo lorry ni mali ya USAID, na lilikuwa kwenye shughuli za kawaida tu, bahati mbaya ama kwa sababu ya uchovu, ulevi, au nyingine zilizo nje ya uelewa wetu ("kwasasa") kujua, dereva wa Lorry alipitiwa na 'usingizi'...

The AFP news agency quoted a minister in Mr Tsvangirai's Movement for Democratic Change (MDC) party as saying the driver of the lorry had been asleep at the wheel.

Another report said the truck had hit a pothole in the road.

An official at the US embassy in Harare was quoted by AFP news agency as saying the truck belonged to an organisation partnered with the US government aid agency USAID.

"It belongs to a partner of USAID who deliver HIV/Aids [drugs] and other medical supplies," the official told AFP, on condition of anonymity.

All Zimbabwe's roads are in a poor state of repair after years of neglect, say correspondents.

Police escort

But in the news conference, Mr Biti said the accident could have been avoided if a police escort had been provided.

"Logic would have demanded that police escort be provided to the prime minister to warn other traffic and this tragedy could have been avoided," he said.

However, correspondents point out that Mr Tsvangirai was not entirely comfortable with security provided by the new government, relying instead on his own security teams
.

...mnyongeni "mzee wa Chang'ombe maduka mawili" lakini haki yake mpeni, duh...!

mshasahau Damisan naye alivyopitiwa na 'usingizi' akalivaa Merecedes la Sokoine pale Dumila? ...ajali haina king'ora wala kimuli muli!
 
Mbu,

..asante kwa kuuleta hoja za upande wa pili wa shilingi.

..Tsivangarai ni Waziri Mkuu wa Zimbabwe.

..he is in-charge with the day-to-day operations of the government.

..sasa kilichomshinda kutoa order kwa Waziri wa Mambo ya Ndani/Security ku-assign a police escort for his motorcade ni nini?

NB:

..Tendai Biti anaongea kana kwamba MDC-T si sehemu ya "vyama tawala" vya Zimbabwe.
 
Yaani hana msafara kama PM???

au hawaamini Mapolisi trafiki wakati yeye ni PM?

Kama angekuwa na msafara basi gari la trafiki lingetangulia na king'ora na kusimamisha haya magari yote ya mbele pamoja na hili lori!

RIP Suzan

Ndugu, umesahau kuwa hiyo ni Zimbabwe?
 
Mbu,

..asante kwa kuuleta hoja za upande wa pili wa shilingi.

..Tsivangarai ni Waziri Mkuu wa Zimbabwe.

..he is in-charge with the day-to-day operations of the government.

..sasa kilichomshinda kutoa order kwa Waziri wa Mambo ya Ndani/Security ku-assign a police escort for his motorcade ni nini?

Sasa hiyo police escort for his motorcade ina uwezo wa kuzuia kila aina ya ajali?
 
Nyani Ngabu said:
Sasa hiyo police escort for his motorcade ina uwezo wa kuzuia kila aina ya ajali?

NN,

..huo ndiyo unaelekea kuwa mtizamo wa baadhi wa wachangiaji.

..hata Tendai Biti, ambaye ni Waziri wa Fedha wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa MDC, naye ana mtizamo huo.

..halafu wananchi wana haraka ya kulaumu kutokuwepo kwa police escort. wakati huo huo wanasahau kwamba msafara wa Tsivangarai ulikuwa na magari matatu, alilopanda yeye likiwa katikati. sasa hilo gari lilolotangulia lilikuwa linafanya kazi gani?


NB:

..kwa wakati huu nachukulia suala hili kama AJALI, tofauti na wale wanataka tuamini kwamba ni HUJUMA.
 
Historia inatusuta

-- john garang wa sudan alivyokubaliana na sudan kuskazini ikawaje ? Na sasa wanamfanya nini morgan

-- tungoje kenya na raila wao
 
NN,

..huo ndiyo unaelekea kuwa mtizamo wa baadhi wa wachangiaji.

..hata Tendai Biti, ambaye ni Waziri wa Fedha wa Zimbabwe na Katibu Mkuu wa MDC, naye ana mtizamo huo.

..halafu wananchi wana haraka ya kulaumu kutokuwepo kwa police escort. wakati huo huo wanasahau kwamba msafara wa Tsivangarai ulikuwa na magari matatu, alilopanda yeye likiwa katikati. sasa hilo gari lilolotangulia lilikuwa linafanya kazi gani?


NB:

..kwa wakati huu nachukulia suala hili kama AJALI, tofauti na wale wanataka tuamini kwamba ni HUJUMA.

I guess ktk political climate ya Zimbabwe hivi sasa, chochote (hata kama ni ajali tu) kitakachompata Mugabe au Chengirai kitakuwa open kwa conspiracy theories za kila aina. Ndio maisha hayo....
 
Tsvangirai’s wife killed by lorry on British aid run
Sophie Shaw in Harare and Jon Swain

THE mysterious road accident that killed the wife of Morgan Tsvangirai, Zimbabwe’s prime minister, leaving him injured and emotionally devastated, was caused by an aid lorry on a mission funded by Britain’s international development department.

The heavy Nissan truck, registered to the American embassy in Harare, was carrying life-saving drugs for HIV-Aids sufferers, officials revealed yesterday.

Tsvangirai’s Movement for Democratic Change (MDC) party has demanded an independent investigation into the crash. It said the tragedy could have been avoided if proper security had been in place. Tendai Biti, the secretary-general of the party, said: “If there had been a police escort, what happened would not have happened.”

There was inevitable speculation of foul play, given Tsvangirai’s intense rivalry with President Robert Mugabe, with whom he formed a fragile unity government a month ago, and his claims to have been the target of four assassination attempts.
Related Links

* Tsvangirai's wife killed in car crash

* Zimbabwe 'torture' family face deportation

Tsvangirai’s wife, Susan, 50, died on Friday when the lorry veered across from the opposite lane and slammed into their Toyota Land Cruiser at an accident blackspot 50 miles from Harare. She was thrown from the car, which rolled three times. The lorry driver is in police custody.

Mrs Tsvangirai was immensely popular with MDC supporters. The couple had been married for 31 years and had six children. Nelson Chamisa, a party spokesman, described her as “a mother not only to the Tsvangirai family, but to the party and the nation”.

The American ambassador, Jim McGee, said the driver might have been trying to avoid a pothole but police denied there were any large holes in the road. McGee’s statement was apparently contradicted by the driver, who reportedly told police he had fallen asleep at the wheel.

Activists seized on the inconsistency. One said the driver could well have been ordered or bribed to crash into Tsvangirai’s car. “This is how they killed their opponents in the 1980s.” Mugabe’s supporters are alleged to have faked car accidents in the past.

Zimbabwe’s national security chiefs are hostile to Tsvangirai’s role in the unity government. The police chief, Augustine Chihuri, and Constantine Chiwenga, the head of the army, have both threatened Tsvangirai in the past.

Tsvangirai suffered head and neck injuries but left hospital yesterday. Last night he was flown to neighbouring Botswana on President Seretse Ian Khama’s aircraft. Tuesday is his 57th birthday.

As he mourns his wife he faces enormous challenges in trying to bring a crippled Zim-babwe to its feet. He is also under pressure from supporters who believe he sold out cheaply by joining a government while Mugabe remains president.

Diplomats said any reduction in Tsvangirai’s capacity for work would be critical and that he needs to resume the role of prime minister quickly. The alternative would be to allow Mugabe to reassert complete authority.

sasa labda baada ya Mungu wenu kusema kwamba Mugabe hauhusiki sasa ndio mtaanza kuamini kwa maana kama wangeandika waafrika msingekubali, na ninaamini sasa kutakuwa hakuna kumshuku Mugabe tena kwa maana mzungu ameshasema kuwa hahusiki.....
 
Ni ajali tu,

sasa Mugabe amuue baada tu ya kumwapisha kuwa PM na leader of serikali Bungeni..ili iweje?

Tuseme kuna uzembe wa yeye pia kujiamini mno na kuamua kusafiri umbali wote huo ktk barabara mbaya bila potocol ya police kama PM!
 
The heavy Nissan truck, registered to the American embassy in Harare, was carrying life-saving drugs for HIV-Aids sufferers..
The question remain who is behind this?
 
Rumours fly after Tsvangirai crash
BBC News Online

Brian Hungwe visits the scene of Friday's car crash near Harare in which Zimbabwe's Prime Minister Morgan Tsvangirai was injured and his wife Susan killed.

Mr Tsvangirai's car reportedly rolled three times after the collision

A land cruiser lies on its back 24 hours after the car crash, drawing the attention of motorists.

Inside the mangled remains of the vehicle, a continuous warning sound has been hinting all day that doors are open.

Yet the keys are still in the ignition. A shattered windscreen and broken car windows tell an ugly story, as the Toyota Land cruiser rests on its roof besides the road.

Two policemen are on constant guard. Strangers are not allowed up close.

But vehicles are slowing down around the fatal scene. Curious onlookers disembark, say little, and some weep, as they catch a glimpse of the lonely miserable vehicle.

It is difficult to imagine how Mr Tsvangirai escaped relatively unscathed as the heavy vehicle rolled three times after the collision with an oncoming lorry.

One immediately feels pity for his wife Susan, his pillar of strength and mother to the couple's six children.

Questions asked

The Masvingo-Harare road is a two lane route. The place where the crash occurred is on a kilometre-long (0.6 miles) stretch of clear road, sandwiched between two commercial farmlands.

People don't want to believe it was an ordinary accident... They wanted to kill him

Harare's taxi driver

The road evidently requires rehabilitation, but calls for such repairs have fallen on deaf ears over the past years, despite horrifying fatalities involving haulage lorries, buses and ordinary cars.

As the nation ponders on the latest tragedy, many questions are being asked - and concerns are being raised over the security of government officials.

How a convoy of three vehicles, with one in the middle carrying the second most important person in the land, got involved in a car crash, is what has perplexed many people.

The oncoming lorry, which apparently belonged to a partner of the US government aid agency USAID, is thought to have crossed into the prime minister's path, sideswiping the right bumper of Mr Tsvangirai's Land Cruiser, which then rolled off the highway.

Rumours in Harare

"If you look at the circumstances surrounding the accident, they show that there is not as much security as one would have wanted, not that you can prevent an accident, but I'm sure it must give a lot of lessons about the security framework," says Dr Lovemore Madhuku, chairman of a constitutional reform pressure group.

Mr Tsvangirai flew to Botswana on Saturday, his party said

"It's very depressing, I think happening within the first three weeks of the new inclusive government. It's unfortunate that the public will find it unbelievable and that could threaten the whole framework of the new government," Dr Madhuku said.

Already, Harare is awash with rumour and speculation.

"People don't want to believe it was an ordinary accident, even if you tell them President Mugabe visited Tsvangirai in hospital hours after the crash," a taxi driver told me.

"Why did the oncoming vehicle target his vehicle, yet there are hundreds other cars that use the same road every hour, it's a busy road?" he asked. "They wanted to kill him."


At the scene of the crash, Deputy Mines Minister and MDC legislator Murisi Zwizwayi is refusing to buy into the story that the encroaching vehicle hit a pothole or hump before crossing the lane.

"Where are the potholes, even humps, here, do you see one, it's just a clear road," he said, almost throwing his hands in exasperation.

"There was a lot of talk around a pothole that is alleged to have caused the accident. It was only proper that we visit the scene. From my own assessment, there is no pothole to talk about as far as this accident is concerned," Mr Zwizwayi said.

'Huge embarrassment'

At the clinic where Mr Tsvangirai was treated, there was heavy security, state agents and armed police. It appeared like a state expression of loyalty, to avoid giving any credence to conspiracy theories.


Mr Tsvangirai lost his wife of 30 years in the crash

"From now on, security around the prime minister will be tighter, I think they will test whatever he drinks or eat first to make sure he doesn't die. It's in their interest to keep him alive now," said a senior MDC official, barred from entering the clinic after the accident.


The treatment centre was besieged by hosts of politicians across the political divide.

Inside were central bank governor Dr Gideon Gono, Defence Minister Emmerson Mnangagwa, head of central intelligence Happyton Bonyongwe, and other party deputy ministers.

"Rarely do prime ministers get involved in car accidents. Plane crashes are more understandable," said a retired army official.

"It shows lack of planning, co-ordination of close security transporting the VIPs in the convoy," he said.

He says when such a situation arises "countless reports are filed, many questions asked, and people tend to lose their jobs".

"This incident," he added, "is no exception."

An MDC insider says what makes this incident more serious, is that it is a "huge political embarrassment to the state, particularly President Mugabe that he is failing to provide adequate to his prime minister in government".

Given Mr Mugabe's demeanour, a very sad depressed face, as he walked out of the clinic, a lot of people "must be running around".

"Logic would have demanded that police escort be provided to warn other traffic... and this tragedy could have been avoided," Finance Minister Tendai Biti said, before breaking down at a party news conference.

"The authorities must understand that omission," Mr Biti added.

His tears hint at the growing level of anger and emotion within the echelons of his party. At his home in Harare, there was weeping and wailing all night, as relatives and friends tried to come to grips with the tragedy.
 
The question remain who is behind this?

...Mkuu, NOBODY is behind this accident except for the driver aliyepitiwa na usingizi.

Britain says Tsvangirai crash a genuine accident

English_Xinhua 2009-03-09 16:47:24 Print

HARARE, March 9 (Xinhua) -- The U.S. and British governments, who admitted to jointly owning the Nissan UD truck that side-swiped Zimbabwe Prime Minister Tsvangirai's vehicle on Friday, killing his wife Susan on the spot, have said the crash was a genuine accident, according to The Herald on Monday.

The admission came in the wake of speculation in certain quarters that the crash may not have been an accident.

"We can confirm that the truck was operated by a project jointly funded by the United States and United Kingdom. All indications are that this was a genuine accident," the British Foreign Office said on Sunday.

The Foreign Office said the truck, owned by the United States Agency for International Development, was delivering HIV and Aids drugs for a project co-funded by the U.S. and British governments and run by the Zimbabwe National Family Planning Council, when the accident occurred.

...hizo ni kauli toka kwa mahasimu wakubwa wa Robert Mugabe, ambao kwa namna yeyote wangependa Bob ang'atuke madarakani, na katika vyanzo vya habari dakika kumi zilizopita, MORGAN TSVANGIRAI mwenyewe anakiri ilikuwa ni ajali tu...!

Tsvangirai says crash an accident

Zimbabwean Prime Minister Morgan Tsvangirai has said the car crash that killed his wife was an accident.

..."When something happens, there is always speculation but I want to say in this case, if there was any foul play, it was one in a thousand," Mr Tsvangirai was quoted as telling mourners outside his home in the Zimbabwean capital, Harare.

Referring to his late wife, he said: "It was an accident and unfortunately it took her life."


source; BBC NEWS | World | Africa | Tsvangirai says crash an accident

...Ajali haina kinga, king'ora, kimuli muli wala u VIP!
 
mimi nachojua gari alikuwa anaendesha mwenyewe and the lat time i visited zimbabwe he was driving Hondo CRV i count believe. security wise hana mshauri au serikali haimsaidii chochote
 
Lakini wakuu, Mugabe nae si huwa anasafiri hivohivo kwa kupita katika njia hizohizo tangu awe kiongozi wa Zimbabwe?
 
Last edited:
Back
Top Bottom