Suzan Tsvangarai Killed in Car accident, Mr.Tsvangirai Injured..

mimi nachojua gari alikuwa anaendesha mwenyewe and the lat time i visited zimbabwe he was driving Hondo CRV i count believe. security wise hana mshauri au serikali haimsaidii chochote

...Ochu, Tsvangirai hataki kutumia escort ya serikali, anatumia escort na walinzi wake mwenyewe wa MDC. Ni sawa na maalim seif anavyotumia Blue Guards wa CUF kumlinda!
 
_45553616_funeral_afp466.jpg

The family and friends of Zimbabwean Prime Minister Morgan Tsvangirai have attended a service for his wife, Susan, who was killed in a car crash on Friday.

_45553617_family_ap466.jpg

Mr Tsvangirai's six children were at the service in Harare, where their father said he thanked God for the 31 years he had been able to spend with his wife.

_45553614_tsvangirai_afp226.jpg

Mr Tsvangirai, who has said he believes the crash was a genuine accident, said he was certain his wife would now want life to go on.

_45553615_mugabe_ap300.jpg

President Robert Mugabe also spoke during the service, telling mourners it would take time to recover from the shock of Mrs Tsvangirai's death but that it had been "the hand of God".

_45553831_aerial_ap466.jpg

Mrs Tsvangirai's body will be buried in the family's home town of Buhera on Wednesday, said a spokesman for Mr Tsvangirai.
 
Zimbabwe mourns 'mother of struggle'
BBC News Online​

Memorial events took place in church and in a Harare sports stadium

Zimbabweans have been mourning Prime Minister Morgan Tsvangirai's wife, Susan, who was killed in a car crash four days ago. Brian Hungwe joined those paying their respects.

Inside the Malbereign Methodist Church in Harare, a beige gleaming coffin held the body of Mrs Tsvangirai, wearing a red and white church uniform.

The coffin was placed in the centre of the church, separating former political rivals President Robert Mugabe of Zanu PF party, and Movement for Democratic Change (MDC) leader Mr Tsvangirai. Many words have been exchanged before - some harsh and ugly

Robert Mugabe

The church was crowded, and others - among them diplomats - watched the proceedings from outside.

As priests took turns at the pulpit, their message was bold and clear - Zimbabwe's political leadership must take a hard look in the mirror.

"God works in mysterious ways," said Pastor Kampira.

"He has brought together former rivals, we should rejoice," he said, indicating that the days of political quarrels should be a thing of the past.

Mugabe applause

Human rights groups blame the politicians for instigating violence that has divided families and set a mist of hate and grief in the communities.

In a speech delivered to mourners from the pulpit, Mr Mugabe said: "We have many followers. So many have lost their lives. Gone should be the days of violence."

His voice was low, his delivery composed - a far cry from his invective against his former rival.

_45554699_-29.jpg
Morgan Tsvangirai had been planning his 57th birthday celebrations

"Many words have been exchanged before - some harsh and ugly," said Mr Mugabe, receiving a round of applause from the congregation.

In his sermon, Rev Joseph Muwanzi reminded President Mugabe that his party's supreme organ, the Politburo, decides who should be accorded national hero status.

But the priest noted that ultimately it is God who will judge all our actions by deciding after our burial who should go to heaven or hell.

As the priest spoke, Mr Mugabe looked in pensive mood while Mr Tsvangirai seemed to be distressed.

As the convoy of vehicles left the church, a 500m stretch of road was turned into flickering stream of traffic.

'Pillar of strength'

Away from the church service, mourners clad in MDC party regalia gathered at a Harare stadium to play their part on a day of remembrance.

Some of their shirts were emblazoned with the slogan "vote MDC".

Some women took the opportunity to send a message that MDC activists arrested on charges of plotting to topple President Mugabe should be released.
President Mugabe called for an end to the "days of violence"

Thousands of MDC supporters heard Tendai Biti - a close ally of Mr Tsvangirai - pay tribute to the prime minister's late wife.

"[Mr Tsvangirai's] only pillar of strength has been his wife, Susan, who provided the food, the comfort and attention throughout his treason trial… and assassination attempt," Mr Biti said.

"Throughout his stay in detention in prisons, she is the one who provided the food," he said.

On hearing of Mrs Tsvangirai's death, Mr Biti said he was so shocked that he "couldn't feel the pain".

"She was the mother to our struggle, who mothered and breastfed that struggle. She was there when we were beaten up, assaulted."

The irony of the day, he said, was that Mr Tsvangirai was celebrating his 57th birthday staring at the coffin of his companion of 31 years.

"God works in strange ways," Mr Biti said.

"This is one of them. She died in the process of preparing her husband's birthday."
 
..mbona waombolezaji hawaonekani kama wananchi wa taifa lililozingirwa na kipindupindu, hyper-inflation, ukame na njaa, na un-employment?

..sasa hivi Tsivangarai anazunguka kwenye nchi za SADC akiomba msaada, na kusisitiza kwamba vikwazo vya uchumi viondolewe!!

..mbinu za kisiasa za Tsivangarai zinanikera sana, sioni tofauti yake yeye na Mugabe. kila mmoja ni katili, labda kinachowatofautisha Mugabe ana majeshi, lakini Tsivangarai naye ana mataifa makubwa nyuma yake.
 
..mbona waombolezaji hawaonekani kama wananchi wa taifa lililozingirwa na kipindupindu, hyper-inflation, ukame na njaa, na un-employment?

Kumbe na wewe ume notice hicho kitu eeh? Hata mimi nilikuwa najisemea hapa...'mbona hawa watu hawaonekani kama choka mbaya'?...Oh well....
 
Nyani Ngabu,

..halafu sehemu yenye kipindupindu mikusanyiko ya namna hii si huwa inapigwa marufuku?

..i have never said this before, but Zimbabwean politicians have forced me to. MIAFRIKA NDIVYO ILIVYO.
 
JokaKuu acha utani bana.

- Morgani kafiwa na mke wake jamani, tuweni na huruma. Siwezi kukuombea ufiwe na mke lakini it pains. So, just wish him well in this trying period of his personal life. Iamgine yaani ndo walikuwa wamemaliza mapambano..ndo mwenzake kamtoka....

-Swala kwamba watu hawaonekani kama wenye kipindupindu..nadhani hatuelewi kwamba watu hatulingani especially in Africa. Hivi kweli JokaKuu ukienda Dar ukaenda pale Oysterbay, Masaki, Kempisk etc ukacheki watu wanavyotanua....utajua kwamba less than ten KM in Mwananyamala watu wanakufa kwa kipindupindu? utajua kwamba MANZESE KUNA UWANJA WA FISI? UTAJUA KWAMBA TZ NI ALMOST YA MWISHO KWA UMASKINI WA KUTUPWA DUNIANI? Utajua kwamba almost 15 million Tanzanians live below international poverty line? Ukiambiwa kwamba Chenge ana billions..anasema ni vijisenti..how do you envision our country? au tunaponunua rada au ndege ya raisi kwa millions? wAKATI millions of our people cant afford their meals?

-Tuache utani bwana Hata ukisema Africa ni bara la watu masikini, there are thousands out there..wanatanua na kula good time sana tuu..ulaya, US na hapa home!

Hata wewe unaweza kuwa unaendesha Cadillac wakati unatoka Kazura Mimba ambako hata dispensari haipo..na unaogopa kwenda kwenu likizo...

Mkuu, mengine yaache tuu..ndivyo yalivyo!
 
Heshima yako bwana Masanja,

Lakini braza, hali ya Zimbabwe ni ya kipekee. Ni Somalia tu inayoipita Zimbabwe. Sasa kuona watu wamejikwatua namna hiyo inashangaza kidogo....regardless of the occassion
 
Lakini kwa hali ilivyo nchini Zimbabwe inawezekana pia ikawa ni conspiracy hasa ukitilia maanani jinsi Mugabe alivyomtesa Tsvangarai na wafuasi wake kwa miaka chungu nzima sasa.

They have borrowed yet another leaf from Kenya...first the coalition and now death/assasination by road ACCIDENT!!! only it did not happen to the intended person.
I see a conspiracy...no matter how i slice it Bob knows something...
 
Back
Top Bottom