Suruali vazi lenye mlengo wa kuwadhalilisha wanawake wembamba

Suruali vazi lenye mlengo wa kuwadhalilisha wanawake wembamba

Godoro la kioo

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2025
Posts
364
Reaction score
727
Salaam wakuu.

Binafsi Sina lengo la kumharibia siku mtu ,au kumkejeli mtu lakini wakuu suruali kwa wanawake wembamba ni kama wanajidhalilisha

Naelewa kwamba wanataka wapendeze, waende na wakati ,na waonekane wa kisasa lakini Kuna mambo mengine hapana kwa kweli

Samahan kama Kuna yeyote niliemkwaza

Binafsi navutiwa zaidi na wanawake wembamba lakini kwa hili hapana
FB_IMG_1771128254276.jpg
 
Pia Msichana mwembamba mwenye miguu myembamba asivae sketu fupi miguu iliyokonda inakuwa inafanana na miguu ya kuku
 
Back
Top Bottom