Surrogacy imeturahishishia maisha

Hauwezi kua serious,
wanawake wote Hawa duniani zaidi ya billion 5.6 umekosa hata mmoja wa kuzaa nae au kufanya na mahusiano
 
Tatizo Nini,
Kutongoza huwez, wanakukataa wenyewe, ukishaanza mahusiano wanakukimbia, una matatizo ya kimaumbile au vipi?

Hebu jibu ili tujue tunakusaidiaje mkuu
Kutongoza naweza, Sina matatizo ya kimaumbile Ila wananikataa instant nikitu nimekua nakiexperience more than 15 years sababu sahiv nina 30's nimeona nifanye hivyo ili nisijefikisha 40 Sina mtoto
 
Pole saana mkuu,,
Hata uwe na physical appearance ya aina gani,, hata iwe abnormal kiasi gani hauwezi ukachukiwa na kila mtu au kukataliwa na kila mtu.

kwaiyo the case here is more spiritual.
Kuna tatizo kubwa katika ulimwengu wako wa kiroho

Watu wanafungwa wasizae, wanafungwa wasiolewe, wengine wanafungwa wasiajiliwe, wengine wanafungwa wasifanikiwe,, yaani mtu unajituma kufanya kazi kwa bidii usiku na mchana, hela unapata,, lakini hakuna cha maana unafanya.

Watu wengi wanahangaika saana maishani bila kujua kuwa wamefungwa katika ulimwengu wa kiroho.

Sasa kufungwa kuna sababishwa na mambo mengi,,
Kuna kulogwa na wachawi,, kuna laana za wazazi,, maneno ya wazazi, na hata maneno yako wewe mwenyewe yanaweza yakakkufunga.

Maneno mengi tunatamka,, alafu tunasahau,, tunapoanza kupata shida tunasahau kuwa ni matunda ya Mbegu za maneno tulizopanda.

Sasa badala ya kuwekeza nguvu nyingi kwenye kwenye the so called surrogate,, japo kidogo jaribu kufuatilia chanzo cha tatizo.

Muombe saana mungu akuoneshe chanzo cha mapito yako.

Alafu swali la msingi la kujiuliza ni hili:
Je hiyo nguvu ya kiroho inayokuangaisha haiwezi ikaingilia hadi huko kwenye huo mchakato wa kutafuta mtoto kupitia surrogate??

Kama lengo la hiyo roho ni kukuzuia usipate mtoto katika maisha yako yote, je huko kwenye surrogate ndio utaishinda??

Think thrice.
 
Back
Top Bottom