chapaa JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 2,349 Reaction score 206 Feb 2, 2012 #61 Suby Mushi. said: I'l faint aisee mana mi huwa nna vlavydavy vlvoptiliza Click to expand... Uongo huo labda utazirai kwa kufumaniwa
Suby Mushi. said: I'l faint aisee mana mi huwa nna vlavydavy vlvoptiliza Click to expand... Uongo huo labda utazirai kwa kufumaniwa
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Feb 2, 2012 #62 Kanyigo said: nitagomba..sitaki suprise za aina hiyo..kama ana nyingine apotezee,vipi akinikuta na nyumba ndogo? Inabidi kuheshimu ratiba. Click to expand... mkuu Kanyigo hapo umeongea lipweint,ekchwale nilikuwa na mpango wa kumsaparaiz Lizzy nimeghairi tokana na ushauri huu.
Kanyigo said: nitagomba..sitaki suprise za aina hiyo..kama ana nyingine apotezee,vipi akinikuta na nyumba ndogo? Inabidi kuheshimu ratiba. Click to expand... mkuu Kanyigo hapo umeongea lipweint,ekchwale nilikuwa na mpango wa kumsaparaiz Lizzy nimeghairi tokana na ushauri huu.