The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Usiogope bana...lolMh uko kama mm, ww nisuprise haina shida lkn mie mh aku sipend! mapenzi ya kibongo nouma utajuta. yan unafanya suprise uku moyo wako unaenda mbio na presha juu kisa? no tnx i jus cant aisee.
Hahaahha. .
Hapo hata kama mliachana/mtaachana kwa ugomvi hutokaa umsahau kwa hilo. Mpaka raha.
@MammaMia nimekusoma babaangu!!
That's what i call a truly definition of a SURPRISE....lol...Hahahahah. . .
Thank you for the lough Mr Man.
Would you be HAPPY, PISSED OFF or FREAKED OUT if your man or your lady was to give you a surprise visit?
Yani mko kwenye simu anakwambia anavyokumiss ila tu umbali/shughuli ndio zinamzuia kuwa na wewe kwa wakati ule iwe ni jioni umemwambia uko nyumbani, mchana umemwambia unapata lunch kwenye kagenge/restaurant mnayopendaga kwenda pamoja au muda wa kutoka kazini ndio unakusanya makorokoro yako uelekee nyumbani. Ghafla mtu anagonga unaenda kufungua unamkuta, restaurant mtu anakushika bega au ofisini unasikia mtu kafunga/fungua mlango ukigeuka nyuma unakuta ni yeye. Reaction yako ya kikweli kweli itakuwaje?
alicheza karata ya ukweli, uh saiv ni historia tu.
Usinicheke basi, afu umefail somo la ku-connect the dots lol
Hahahahaha!!! Lol....
Kwanzia siku ile aisee naconnect kimya kimya. . .hamna haja ya kupiga kelele.
Heheh sijakicheka bwana ila nimefurahi kwa niaba.
nlisahau kama we "mbea"
husahau kitu!
Kwa niaba ya nani??
Pia kuna ile ishu inanikereketa jamani, mbona unanifanyia hivyo?
kama unataka kufumania fanya hivyo!
ndo najaribu kufikiria......
natoka kimasomaso naenda kufanya surprise.......inageuka fumanizi.....
nshawahi ona hiyo....so nilijifunza.........
surprise zingine hazifai hizi acha tu tuzione kwenye tamthilia za kina Juan Manuel
nadhani nitalia kwanza maana nitafurahi vibaya mno