Sura ya mbuzi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sura ya mbuzi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by SUPERUSER, Sep 2, 2012.

 1. SUPERUSER

  SUPERUSER JF-Expert Member

  #1
  Sep 2, 2012
  Joined: Jun 11, 2011
  Messages: 959
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
  Jamaa watatu walikutana wakaanza kushindana nani kati yao anajua Kuuchuna (uso wa mbuzi)

  Jamaa1:"Nilimpigia simu mke wangu akapokea hakusema 'hallo!' Nami nikauchuna. Sikuongea mpaka pesa zote zikaisha.

  Jamaa2:"Niligonga mlango,mke wangu akafungua,lakini hakuniambia 'karibu' nikauchuna na kurudi nilikotoka.

  Jamaa3:"Tangu nimuoe mke wangu hajawai niita 'mpenzi',nimegoma kulala naye hadi leo ni miaka Sita."

  Wenzake wakamwambia:"Wee acha uongo,mbona una watoto wawili?"

  Jamaa3 akajibu:"Mpaka leo sija muuliza watoto niwa nani? NIMEUCHUNA tu..!"
   
Loading...