Alikuwa ana washwawashwa sio bure.Hakuna cha mtenda wema yeye ndio mjinga utaanzaje kumuokoa mwenzako kabla hujajiokoa wewe?
Yeye hajajitoa kitanzi anakimbilia kumtoa mwenzake, hiyo tunaita kiherehere kimemponza
Hakuna cha mtenda wema yeye ndio mjinga utaanzaje kumuokoa mwenzako kabla hujajiokoa wewe?
Yeye hajajitoa kitanzi anakimbilia kumtoa mwenzake, hiyo tunaita kiherehere kimemponza
Lakn pia tusisahau kwamba hyo picha inafundisha kwamba acha kiherehere kutatua yasiyokuhusu[emoji23] [emoji23]Ni wenye mioyo michache sana ya aina hiyo ambapo asilimia kubwa ya binadam hawawezi hilo jambo kama ulivyoona kwa muono wako hapa. Nature ya binadam ndio ipo hivyo.
Ukiskia upendo wa mshumaa ndio huo upo tayari kupata tabu hata ukaungua wote ili mradi wengine wapate NURU aisee.
Ndio mana tunasema SURA SIO ROHO.
Lakn pia tusisahau kwamba hyo picha inafundisha kwamba acha kiherehere kutatua yasiyokuhusu[emoji23] [emoji23]