Supu ya pweza Vs Juice ya tende

uzuri tende ni zao la nchi kavu so dom waweza kulipata kwa urahisi sana na kama unataka basi panda mti wako uwan kwako utakula tende mwaka mzima

basi ngoja nitafute mche nipande mtende wangu
 
Wewe kaa na pesa zako halafu usijue kugegeda.....ujiulizi kwanini mwanamke anapata kila kitu lakini anatembea na muuza fagio???Kito.mbo ndo mpango mzima

Eti muuza fagio jamani 😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…