Supu ya nywele.

Red Giant

JF-Expert Member
Mar 9, 2012
15,657
20,940
ilikuwa kwenye gereza moja huko ujerumani wakati wa WWII. njaa ilikuwa imeanguka gerezani. sasa mabwana jela wakawa wanatafuta wafungwa wenye nywele nyingi, wanawakata, kutengeneza supu na kuwapa wafungwa wasogeze siku. nywele huwa zinatengenezwa na protini inaitwa keratini ambayo ni ngumu na haiwezi kumeng'enywa. inawezekana supu ya nywele haikuwasaidia ila inafurahisha namna walijaribu kuwasaidia.
 
Back
Top Bottom