Suprise iliyobeba maumivu yangu

Suprise iliyobeba maumivu yangu

We ni nyoko kumuoa usingeweza couse hukuwa umejipanga so yeye kuolewa ilikua vizuri tu na ulipashwa kumpongeza.kinachokuuma kitu gani ulitaka umchezee tu umpotezee time lake venye huna akili.pambana na umaskini wako waachie wenye navyo wajipatie makitchen
 
Mkuu ndio wewe nini uliyemuoa mbona povu na matusi juu.. Au unafikir venye nilivyokuwa sina hela ndio mpka sasa niko hivyo maisha ni safari tu.
 
Mm mwenyew wakwangu yupo chuo tushapangab sas nae akinisuprise fresh tu ila nguo zake zpo kwangu
 
Pole sana, hakufai huyo pambana na noti tu
 
Back
Top Bottom