Suprise iliyobeba maumivu yangu

Suprise iliyobeba maumivu yangu

Unamkatisha tamaa mkuu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sio kwamba namkatisha tamaa! Hapana.... Ila ni maisha fulani ambayo watoto wa chuo hupitia kuwa na wanachuo wenzao..hivyo ni sababu za kimazingira zitakazo mmaliza..
 
Better for her self wakati maumivu kwangu
Hiyo kimpango wako. Na ulivyomsubirisha??? Mungu alifunga mlango kwako,akamfungulia mlango alio stahiri. Unaleta sababu za kitoto eti kulala na njaa nyie ndio mngekuwa wa kwanza kulala na bila kula!!!we vipi?
 
Unaongea tu
 
Pole sana alikuwa sio chaguo lako mshkuru sana Mungu hujui kakuepusha na nini
 
Back
Top Bottom