Suprise iliyobeba maumivu yangu

Suprise iliyobeba maumivu yangu

Pole sana kijana ila naomba nikwambie kitu Huyo mpenz wako alikuwa ana kusaliti mapema bila wewe kujua na huo mpango wa yeye kuolewa na huyo jamaa ulikuepo pasipo wewe kujua

Nawaza kwamba inawezekana alijua kabsa kws Sasa huna ubavu wa kumuoa hivyo akatumia hiyo njia kukukimbia.

Kumbuka kuwa ndoa ni mpango wa muda mrefu wenye mikakati mingi ndani yake pamoja na hatua muhimu kama kutoa posa na mengine mengi hivyo tambua dhahili kuwa Kipindi mko kwenye relationship yeye alikuwa mguu mmoja ndani mwingine nje okay wewe ulisahau kuweka wako mmoja nje

Kiukwel inaumiza sana I can imagine unavyo umia now but katika mahusiano don't trust a woman hata kidgo hiyo ndio siraha pekee ya kukuepusha na maumivu ya kijinga kama haya

Mungu akutangulie katika safari ya maamzi mapya but be careful
Penye wakubwa hapaharibiki jambo.... Mwanamke alimzidi kauwezo ka kuyajua mahausiano yao....

Jamaa alikuwa mzima mzima kadumbukia kama yupo kwenye dimbwi la kuogelea huku mtoto akiendelea kumzamisha asione chochote.
 
Fact
 
Tunasema kuikosa mia sio tatizo tatizo kujiwekea mfereji wa kukosa tena

Pole sana mkuu safari huwa haisimami kwa kuwa unae safiri nae kaahirisha safari

Jipe moyo mungu anajua yaliyo mbele
 
Na ndio maana sikutaka kujitwika mzigo mapema mkuu maana usawa wenyewe huu si wa mchezo.

achana na wazo la kuoa kwa sasa !ndoa ni zaid ya uijuavyo wewe ! ukishaoa automatic majukumu yanakuwa dabo upande wa kiumen na kwa mkeo !yaan usiharakishe kivilee !
 
Penye wakubwa hapaharibiki jambo.... Mwanamke alimzidi kauwezo ka kuyajua mahausiano yao....

Jamaa alikuwa mzima mzima kadumbukia kama yupo kwenye dimbwi la kuogelea huku mtoto akiendelea kumzamisha asione chochote.
Tatizo mapenz mkuu kupenda kuna shida sana.
 
achana na wazo la kuoa kwa sasa !ndoa ni zaid ya uijuavyo wewe ! ukishaoa automatic majukumu yanakuwa dabo upande wa kiumen na kwa mkeo !yaan usiharakishe kivilee !
Nayajua majukumu yote hayo na ndio maana automatic sikutaka kuharakisha hilo jambo na yeye akachukua msimamo wangu kama fimbo ya kunichapia.
 
Back
Top Bottom