Tena kwa macho yote.[emoji1] [emoji1] [emoji1] Mungu anakuona!!
Kuna mahali niliona unanichokoza, dawa yako ipo jikoni.Pole sava na karibu tena mpendwa wetu
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Uuh Amen my dear. Tunamshukuru Mungu, ni msingi ambao mzee wetu alitufuwekea tangu tukiwa wadogo. Tutaomba ibada maalumu kwa ajili yake na kutoa sadaka pia. Nashukuru mpenzi.
Mnunulie kitochi.babu uzee unamjia ntaficha mawani yake asiingie huku kabisaa...
I love you too, unitue mie hata huniambiagi hivo [emoji57] [emoji57] [emoji57]that's my girl binamu...
I luv uuu!!!!!
Wivu hadi kwa mwanao. Em niache mieI love you too, unitue mie hata huniambiagi hivo [emoji57] [emoji57] [emoji57]
She is one and a half...Basi hukiwahi tu kumfuatilia ungelijua hilo siku nyingi
Hili neno limekua msamiati mgumu kutoka mdomoni mwangu acha tu niseme I love you Heaven Sent ,if wishes were ......
Ni mwanamke wa kipekee humu Jf na pia nje ya jf
Mungu aendelee kuwatia nguvu katika kipindi hiki kigumu na kuwafariji
Nakumbuka mara ya mwisho tunachat ule uzi wa Kassim Mganga dah
Pole sana HS
Mimi huyu huyu?AiseeeeKuna mahali niliona unanichokoza, dawa yako ipo jikoni.
I luv too my dear...I love you too, unitue mie hata huniambiagi hivo [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Sasa anakwambia wewe tu!!Wivu hadi kwa mwanao. Em niache mie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaani loohhWivu hadi kwa mwanao. Em niache mie
Hii kapo ina ukakasi ujue, we upo kimaslahi, babu sasa ndio hata haijulikani nini anataka.I luv too my dear...
u two nawapenda sana
japo hampendi kapo yetu kwa roho zenu nyeusi...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kaone na matege yake, hiyo mimba hujifungui tu.Mimi huyu huyu?Aiseeee
Mungu anipe nini zaidi ya hii baraka ya kuwa na the best dota.She is one and a half...
I love her too...!!!
Am her secret prayer !!!!
I wish....!!!
hayawahusu hayo makakasiHii kapo ina ukakasi ujue, we upo kimaslahi, babu sasa ndio hata haijulikani nini anataka.
Kwakweli mie nimegoma, yatanihusu hadi mwisho wa dahari, haiwezekani kabisa, sasa babu mwenyewe hata meno hana alafu anataka nyama!hayawahusu hayo makakasi
babu hamjui anataka nn?