yaani inakuwa hivi MKUU una log in unakutana na picha yako live?
unazima faster kama ni sim au computer unakaaa unawaza ni nani kaisave faster unarudi tena analog in inatokea tena picha yako
Ukweli kabisaaaaa na siku za mbeleni huko, nitaweka yangu halisi. Kama sehemu zingine naweka hapa niogope nini?
Hahaaaa mwenyewe nini tena?
Nataman iwe hivo MMU tubaki wachache tujinafasi
Sasa c bora avatar mi niliwaza pm 2one mitongozo ya watu! Ha ha ha! Ntamuona Excel anavyompa maneno ya mahaba beby ake miss neddy !!
mbona mimi username na avatar ni og
Wacha mimi nianze, kwani kuweka picha shingapi?
Sasa c bora avatar mi niliwaza pm 2one mitongozo ya watu! Ha ha ha! Ntamuona Excel anavyompa maneno ya mahaba beby ake miss neddy !!
hatutumii shs baba! USD! lolz!
tutavumiliana kwa kweli
Bora mie natumia picha yangu tu...........