Support itolewayo na Avatar

Mr. Wise

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2012
Posts
7,733
Reaction score
6,469
Wakuu nilikua nimekaa nikawaza tu aisee, ingawa jambo nililoliwaza halitaweza kutokea kamwe, What if Siku Avatar zetu zikigoma kuonekakana na kuanza kuonyesha sura halisi ya mhusika!! basi nikahisi kua watu wengi wataikimbia na kuiogopa MMU kama ukoma, haswa mabinti!! Big up to your avatar, imekuhifadhi MMU.
Nimewasilisha tu.
 
yaani inakuwa hivi MKUU una log in unakutana na picha yako live?
unazima faster kama ni sim au computer unakaaa unawaza ni nani kaisave faster unarudi tena analog in inatokea tena picha yako
 
huna tofauti na yule bwabwa mwenye mawazo ya kujifungua..
 
yaani inakuwa hivi MKUU una log in unakutana na picha yako live?
unazima faster kama ni sim au computer unakaaa unawaza ni nani kaisave faster unarudi tena analog in inatokea tena picha yako

kwi kwi kwiiiiiii!!!! mi avatar yako tu imeniacha hoi
 
Inayoonekana hapo ndio sura yangu halisi,so sina cha kuficha.
 
huna tofauti na yule bwabwa mwenye mawazo ya kujifungua..

Mkuu kama kila mtu angelikua akimtumkukana mtu yeyote aliyeweka uzi namna iyo na uyo mtu naye kughafirika basi humu MMU nadhani ungebaki mwenyewe.
"Hakuna kitu cha ajabu duniani kama kujibizana ama kumtusi mtu Usiyemfahamu wala yeye kukufahamu"

Have Peace in You
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…