Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Mfano wako haiendani, Kenya case yao ni tofauti na hii ya hapa. Kenya ukabila mwingi ndio mana alifanya maridhiano lakini hapa TZ ni wizi wa wazi kabisa wa kura na mateso mengi kwa wafuasi wa vyama vya upinzani
 
Huyu muhuni anaye elekeza ishara ya vidole kwenye pumbu zake ni nani?
 
Mbona hawajamuondoa yule mbunge wa Sumbawanga?
 
Mimi sina chama, ila sidhani kama kina ACT anakubaliana na kila kitu kinachoamliwa.

Na hakuna chama cha hivyo kwamba wote mfikiri sawa.

Hata kina Warioba n.k hawakubali ilani na yanayoendelea ndani ya CCM ila wamo tu, hata CHADEMA sidhani kama kila mwanachama anakubaliana na kila kitu.
 
Kura zimeibiwa wapi mlizikamata wapi ? Mliyemkamata nazo mlimpeleka polisi ? Mmetengeneza kura fake eti mnajidai mmekamata. Mlitaka mshinde uchaguzi bila sera ? Matusi ndio sera yenu. Nyie ndio wa kuishinda CCM ? Watanzania sio wajinga wa kutupa kura zao kwenye mijitu iliyokalia matusi tu.
Mfano wako haiendani, Kenya case yao ni tofauti na hii ya hapa. Kenya ukabila mwingi ndio mana alifanya maridhiano lakini hapa TZ ni wizi wa wazi kabisa wa kura na mateso mengi kwa wafuasi wa vyama vya upinzani
 


Nenda kwa amani. Acha kazi iendelee... ATC + CCM OYEEEE
 
Naunga mkono sema nina jiuliza mbona wamemuacha Aidan ameenda kuapa!
 
Karibu Chadema, chama peke cha upinzani chenye msimamo, na Tumaini la watanzania.
Sakata la liitwalo Covid-19 limepunguza uwezo wenu wa kuitafsiri sheria kwa maslahi ya wenye nchi na wananchi
 
Pole sana pamoja na kwamba hufahamu Itikadi ya ACT Wazalendo lakini pia bado hujafahamu Siasa, pumzika kajaribu kufanya mambo mengine .
 
Wataishije mzee
Wtaingizaje kipato
Uraiani kugumuu mzee baba
Ukweli kila mtu anangaliaa tumbo na maslahi yake....
Mwisho Usimuamini mwanasiasa hata siku moja

Ova
 
Ndumilakuwili Zitto & Co, kawaingiza mjini.
Uongozi mtamu banaaaa
Mm mwenyewe nkipata zali hilo kazi zangu za uzushi na za longolongo naachaa[emoji23][emoji23][emoji23]
Na relax sasa

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…