Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Mama D hujanijibu?
Najua we una busara za kutosha
Vp zile talaka waliyopewa wale inakuwaje hapo

Ova
Talaka moja haiachi mke😀😀 ndio maana hatukuona spika mwenye wabunge wake kupokea kopi yoyote ya talaka?
 
Kabla hujaanzisha thread hii hakuna aliyekujua. Thread ikiisha tu wote wanakusahau. Basically, you are irrelevant...
 
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.

Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.

Kitendo cha Chama kukubali kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, na kuridhia kuapishwa wabunge wake; naelewa na naona wengi wananchi wenzangu si tu kimewakasirisha kupitiliza ila bali pia kimewatolea imani katika kuwaamini wanasiasa na vyama vya upinzani nchini.

Wengi tangu Jana Desemba 06, 2020 Chama kilipotangaza uamuzi wake huo kupitia Katibu Mkuu, rafiki yangu Ado Shaibu mmeendelea kuniuliza msimamo wangu mtandaoni, kwa simu hadi ana kwa ana kwa kuzingatia mimi kama mwanachama na Mtanzania ninayependa na kuheshimu Haki za Binadamu na Demokrasia, hivyo hakika nasema hampo peke yenu, Masikitiko yenu Watanzania wenzangu ni masikitiko yangu pia.

Uchaguzi ulikuwa batili, uongozi uliopatikana na unaoendelea kupatikana na uchaguzi huu ni batili pia. Haramu haijawahi kuwa halali. SIMPLE MATHEMATICS.

Kwangu mimi Suphian, ndoto yangu kuu ya kuona Taifa langu huru na lenye kufuata misingi ya Haki ni Lulu zaidi ya maslahi ya Chama cha siasa nilipo au yeyote ninayemwamini katika Siasa au nje ya siasa.

Kama nilivyoahidi wakati wa Sakata la Wabunge 19 wa CHADEMA, kwamba siwezi kumumunya maneno pale haki ikipindishwa hata kama na Chama changu, hivyo NATANGAZA: SIUNGI MKONO MAAMUZI YA CHAMA CHANGU.

Hivyo naomba dunia ijue kuanzia Leo Desemba 07, 2020 mimi Suphian Juma Nkuwi rasmi NANG'ATUKA UANACHAMA wa ACT wazalendo ili kusimama na HAKI, kusimama na familia za ndugu waliouawa, kutekwa, kufungwa na kuumizwa wakipigania Uchaguzi Huru, Haki na unaoaminika.

Asante Kiongozi wa ACT wazalendo na Kaka yangu, Zitto Kabwe na Chama kwa ujumla kwa malezi yenu ya KUSIMAMA NA HAKI mliyonipatia tangu mwaka 2015 nilipojiunga nanyi, nawatakia kila kheri.

Suphian Juma,
Aliyekuwa Mgombea Ubunge, ACT wazalendo 2020-2025 Singida Magharibi.

Desemba 07, 2020.

Weka akiba ya maneno mdogo wangu,ipo siku utauunga mkono juhudi,utapatiwa vipande therathini vya pesa,na utapiga pamba za kijani.
Wanasiasa wa kweli Kama Mandela,adimu sana sasa hv,waliopo wanacheki maslahi tu,na njaa inawasumbua balaa.Wakiwekewa V8,cruiser,na ahadi ya ukuu wa wilaya,au ukurugenzi.Wanaachia kabisa.
 
Sasa bwana Sufiani. Pichani unaonekana bado kijana mdogo ktk field ya siasa na propaganda zake. Ki ukweli Tanzania wananchi hawakuwa tayari kufanya yaliyotokea kama si ushawishi wa wanasiasa ili kutafuta uhalali wa kauli zao kwa jumuiya ya kimataifa.

Kwa kuwa mipango yao ime-fail na wanahitaji kuishi kwa kipindi kijacho Plan B ni ku-side na serikali na ndo kilichotokea.

Ushauri wangu. Acheni uwanja wa mchezo uamue hatma ya maisha ya Watanzania kwa kipindi husika. Msiwafundishe kutumia nguvu ambayo haina baraka za UMMA WA WATANZANIA wataendelea kuumia hata kufa wachache na msipate mlichotarajia. "SIKU WATANZANIA WAKICHOSHWA NA SERIKALI YAO WALA HAKUNA WA KUWAALIKA BARABARANI WATAINGIA WENYEWE." Si kwa hila za sasa.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.

Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.

Kitendo cha Chama kukubali kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, na kuridhia kuapishwa wabunge wake; naelewa na naona wengi wananchi wenzangu si tu kimewakasirisha kupitiliza ila bali pia kimewatolea imani katika kuwaamini wanasiasa na vyama vya upinzani nchini.

Wengi tangu Jana Desemba 06, 2020 Chama kilipotangaza uamuzi wake huo kupitia Katibu Mkuu, rafiki yangu Ado Shaibu mmeendelea kuniuliza msimamo wangu mtandaoni, kwa simu hadi ana kwa ana kwa kuzingatia mimi kama mwanachama na Mtanzania ninayependa na kuheshimu Haki za Binadamu na Demokrasia, hivyo hakika nasema hampo peke yenu, Masikitiko yenu Watanzania wenzangu ni masikitiko yangu pia.

Uchaguzi ulikuwa batili, uongozi uliopatikana na unaoendelea kupatikana na uchaguzi huu ni batili pia. Haramu haijawahi kuwa halali. SIMPLE MATHEMATICS.

Kwangu mimi Suphian, ndoto yangu kuu ya kuona Taifa langu huru na lenye kufuata misingi ya Haki ni Lulu zaidi ya maslahi ya Chama cha siasa nilipo au yeyote ninayemwamini katika Siasa au nje ya siasa.

Kama nilivyoahidi wakati wa Sakata la Wabunge 19 wa CHADEMA, kwamba siwezi kumumunya maneno pale haki ikipindishwa hata kama na Chama changu, hivyo NATANGAZA: SIUNGI MKONO MAAMUZI YA CHAMA CHANGU.

Hivyo naomba dunia ijue kuanzia Leo Desemba 07, 2020 mimi Suphian Juma Nkuwi rasmi NANG'ATUKA UANACHAMA wa ACT wazalendo ili kusimama na HAKI, kusimama na familia za ndugu waliouawa, kutekwa, kufungwa na kuumizwa wakipigania Uchaguzi Huru, Haki na unaoaminika.

Asante Kiongozi wa ACT wazalendo na Kaka yangu, Zitto Kabwe na Chama kwa ujumla kwa malezi yenu ya KUSIMAMA NA HAKI mliyonipatia tangu mwaka 2015 nilipojiunga nanyi, nawatakia kila kheri.

Suphian Juma,
Aliyekuwa Mgombea Ubunge, ACT wazalendo 2020-2025 Singida Magharibi.

Desemba 07, 2020.

Upeo wako katika siasa ni mdogo saaaana! Suala la Serikali ya Umoja wa Kitaifa ni suala la Katiba ya Zanzibar! Wewe kafanye kazi ya urembo huna mwonekano wa kisiasa ndani ya kichwa chako na hata mwonekano wa mwili wako.
 
Kwa sasa upinzani halisi ni CHADEMA tu. Wanaishi katika kile wanachokisema na kukiamini.

CHADEMA wanasema kilichofanyika October, 2020 ni uchafuzi uliovuka mipaka yote ya kidemokrasia toka kuwepo kwa taifa la Tanzania. Na wamesimamia hicho hicho mpaka sasa.
Halima aliuliza "Hatukuukubali uchaguzi wa 2010, wa 2015 lakini tuliingia bungeni. Nini cha tofauti 2020?
 
Kwa sasa upinzani halisi ni CHADEMA tu. Wanaishi katika kile wanachokisema na kukiamini.

CHADEMA wanasema kilichofanyika October, 2020 ni uchafuzi uliovuka mipaka yote ya kidemokrasia toka kuwepo kwa taifa la Tanzania. Na wamesimamia hicho hicho mpaka sasa.
2015 walitoka nje wakati Rais anahutubia Bunge na sio mara ya kwanza kususia chaguzi na kutoutambua, mnawaona viongozi wa CHADEMA kuwa na msimamo kwa sababu hawakushinda hawana cha kupoteza ndio mana wamekaza wote ni wale wale .
 
We mama una roho mbaya sana,ulikata Maalimu Sefu mwenye umri wa miaka 78 sasa akose vyote?
1-Urais
2-Makamu wa kwanza wa rais
3-Pension ya uzeeni.
Unafiri panapo uhai 2025 akiwa na miaka 83 atagombea tena?
 
NIMENG'ATUKA ACT WAZALENDO-SUPHIAN.

Najua wengi mmeumia sana. Mmestaajabishwa mno na maamuzi ya Chama changu cha ACT wazalendo kukubali kuungana na Serikali ya Magufuli na Mwinyi tuliyoitangazia dunia imeunajisi Uchaguzi Mkuu wa Tanzania wa mwaka 2020.

Kitendo cha Chama kukubali kupeleka jina la Makamu wa kwanza wa Rais Zanzibar, na kuridhia kuapishwa wabunge wake; naelewa na naona wengi wananchi wenzangu si tu kimewakasirisha kupitiliza ila bali pia kimewatolea imani katika kuwaamini wanasiasa na vyama vya upinzani nchini.

Wengi tangu Jana Desemba 06, 2020 Chama kilipotangaza uamuzi wake huo kupitia Katibu Mkuu, rafiki yangu Ado Shaibu mmeendelea kuniuliza msimamo wangu mtandaoni, kwa simu hadi ana kwa ana kwa kuzingatia mimi kama mwanachama na Mtanzania ninayependa na kuheshimu Haki za Binadamu na Demokrasia, hivyo hakika nasema hampo peke yenu, Masikitiko yenu Watanzania wenzangu ni masikitiko yangu pia.

Uchaguzi ulikuwa batili, uongozi uliopatikana na unaoendelea kupatikana na uchaguzi huu ni batili pia. Haramu haijawahi kuwa halali. SIMPLE MATHEMATICS.

Kwangu mimi Suphian, ndoto yangu kuu ya kuona Taifa langu huru na lenye kufuata misingi ya Haki ni Lulu zaidi ya maslahi ya Chama cha siasa nilipo au yeyote ninayemwamini katika Siasa au nje ya siasa.

Kama nilivyoahidi wakati wa Sakata la Wabunge 19 wa CHADEMA, kwamba siwezi kumumunya maneno pale haki ikipindishwa hata kama na Chama changu, hivyo NATANGAZA: SIUNGI MKONO MAAMUZI YA CHAMA CHANGU.

Hivyo naomba dunia ijue kuanzia Leo Desemba 07, 2020 mimi Suphian Juma Nkuwi rasmi NANG'ATUKA UANACHAMA wa ACT wazalendo ili kusimama na HAKI, kusimama na familia za ndugu waliouawa, kutekwa, kufungwa na kuumizwa wakipigania Uchaguzi Huru, Haki na unaoaminika.

Asante Kiongozi wa ACT wazalendo na Kaka yangu, Zitto Kabwe na Chama kwa ujumla kwa malezi yenu ya KUSIMAMA NA HAKI mliyonipatia tangu mwaka 2015 nilipojiunga nanyi, nawatakia kila kheri.

Suphian Juma,
Aliyekuwa Mgombea Ubunge, ACT wazalendo 2020-2025 Singida Magharibi.

Desemba 07, 2020.

Suphian Suphian Suphian..!

Kwa hiyo kwenda CCM ndio umeenda kusimama na watu ambao wameporwa HAKI zao? Huko CCM ulikokimbilia ndio ambako watu/wanachama wake wamefungwa na kuumizwa na huu Utawala? Huko CCM ndiko ambako kuna familia zilizopoteza watu kwenye Utawala huu?

NB; Nashauri ukiwa kijana na kama sio Mwana-CCM basi angalau tafuta biashara au mradi wowote ambao utakuwa unakuingizia fedha tofauti na hapo utasombwa tu na CCM!
 
Nilisema mpaka ifike 2025 hamtoamini macho yenu ,wanasiasa wengi wa upinzani wataenda CCM!! Huyo dogo kashaandaliwa shavu.
 
Back
Top Bottom