Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Vijana wakiwa wakiwa kwenye keyboards huku wakiendelea kuwatukana wana ccm huwa wanajiona wameshakuwa kina Mandela!
 
Haahaa vyeo vinawamaliza Sana wapinzani, Kuna tetesi pia zitto anaandaliwa ubunge wa vitu maalumu vya rais pia na jemsi mbatia..
Hao wapewe tu, chadema ina support yetu ya kutosha, kwa kura halali watazoa viti vya kutosha. Wasikubali kupewa vyeo vya mbeleko, wakati wana ushawishi wa uhakika toka kwetu wananchi.
 
Mkuu unaleta UANAHARAKATI katika mbio za SIASA ?!!

Ninyi ndio mnaowachanganya wafuasi wenu kwa KUWADHANISHA ya kwamba MAMBO YENU siasani ni sawa na zile harakati za akina Ralph Abernathy,Fannie Lou Hamer,Desmond Tutu na wengineo...

Hivi mnashindwaje kuwa kama wanasiasa wa Kenya akina Raila Odinga,Kenyatta,Musalia Mudavadi Rutto na wengineo...?!!!

Ama hao ni "wanafiki"?!!
Ama hao si WANASIASA wa kweli bali "vibaraka na wachumia tumbo"?!!!

Leo hii mnataka mfanye LOBBYING ZA KIHARAKATI na si za KISIASA ndani ya VYAMA VYA SIASA.....

Boutrous Boutrous Ghali(former UN SG) alipata kusema "ONLY STUPID PEOPLE DO NOT CHANGE THEIR MINDS"

Endeleeni kusubiri UJIO wa VYAMA MALAIKA kutoka MBINGUNI.....


Kijana Muuza Al Kasus
Tandale
umeandika maneno meengi ila sijaelewa point yako ni nini.
Kwani harakati zipo katika mlengwa gani kama sio siasa...?🚮
🚶🚶🚶
 
Vijana wakiwa wakiwa kwenye keyboards huku wakiendelea kuwatukana wana ccm huwa wanajiona wameshakuwa kina Mandela!
Usitake kujifanya mnatukanwa, kila siku tunakutana humu humu hakuna anayekutukana zaidi ya kupewa maoni yasiyokufarahisha. Kama ni matusi basi ni machache sana, tena ya pande zote.
 
Maalim Seif akiwa CUF aliivyosusia uchaguzi wa Jecha mwaka 2015 alipata faida gani.
 
Naunga mkono hoja, kuanzia sasa Zitto Kabwe na Maalim Seif na ACT ni wasaliti wa watanzania hawafai hata kwa kulumangia .
 
umeandika maneno meengi ila cjaelewa point yako n nn.
Kwan harakati zpo katka mlengwa gan kama sio siasa...?🚮
🚶🚶🚶

Mkuu ukitaka ucheke, muulize akupe tofauti ya mwanasiasa na mwanaharakati. Slaa wakati yuko chadema alikuwa anaitwa mwanaharakati, ila baada ya kuondoka chadema, sasa kila mwanaccm anampaka Slaa mafuta kwa mgongo wa chupa kuwa alikuwa mwanasiasa wa kweli, kwa sababu tu kwa sasa Slaa hawakosoi tena ccm!
 
Naunga mkono hoja , kuanzia sasa Zitto Kabwe na Maalim Seif na Act ni wasaliti wa watanzania hawafai hata kwa kulumangia .
Haahaa ndo malengo Yao yametimia, subiri zitto ateuliwe kuwa mbunge wa rais uone
 
Hongera sana bwana mdogo katika siasa msimamo ndio huwa unalipa hata ukichukua muda mrefu , siasa hazina njia ya mkato Kama alivyofanya Maalim Seif na Zitto .
 
Mkuu kwa akili yako hivi chadema hii inakuwa?

Imeshakuwa au unataka ikue mara mbili? Huoni madaraka ya rais yanavyotumika vibaya kupambana na cdm? Uzuri sasa hivi wananchi wanajua mbinu zote chafu Za ccm dhidi ya wapinzani wa kweli.

Mbinu hizo zilifanikiwa huko nyuma enzi za NCCR na CUF, ila sio kwa sasa. Wananchi wengi wanaogopa kuiunga mkono cdm hadharani maana wanaogopa kutekwa, kuuwawa, kuhujumiwa kwenye shughuli zao za kuwaingizia kipato nk, lakini ukweli uko wazi kuwa kizazi hiki kimeshamka na kinajitambua.
 
Ingekuwa umeng'atuka ktk dini yako na kuwa mpagani wengine wangeshangaa lakini kwa mambo ya kisiasa Jambo la kawaida tu
 
Penye njaa hapana maamuzi ya busara.. Ukimuangalia na kumsikiliza vizuri Zitto unaweza kugundua kabisa asivoweza kuhimili njaa. Uliwezaje kumuamini mwanzoni? Wewe nenda unakoenda, hongera yangu huipati..
 
Back
Top Bottom