Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Suphian Juma: Nimeng'atuka ACT Wazalendo

Maalim kukubali kuwa makamu wa Rais hakumaanishi amekubali matokeo ya uchaguzi. Kila mtu anajua ccm waliiba kura na kutengeneza kura feki.

Ila Nani wa kuwahukumu ccm?

Kwanini mzee maalim Aendelee kuishi kwa presha wakati nafasi ipo?
Kwa sasa upinzani halisi ni CHADEMA tu. Wanaishi katika kile wanachokisema na kukiamini.

CHADEMA wanasema kilichofanyika October, 2020 ni uchafuzi uliovuka mipaka yote ya kidemokrasia toka kuwepo kwa taifa la Tanzania. Na wamesimamia hicho hicho mpaka sasa.
 
Heshima na tamaa havikai nyumba moja, mimi nimechagua heshima ndio maana unaniona hapa - Makamba Snr.
 
Kama kuna muda ulitakiwa ubaki ndio huu....mnachohama hama ndio mnaonyesha hamkua na public interest at heart, huyo kapewa ulaji na mwingine anahama kisa mwingine kapewa ulaji na sio msukumo wa ku serve Tanzanians, wewe hauhesabiki kama shujaa, sababu kutoka kwako ni kuua upinzani
 
Hongera sana Suphian kwa "kung'atuka" chamani kwako, kana kwamba ulikuwa kiongozi hata. Karibu sana Sisiemu chama cha uongozi & utawala & uzalendo & maendeleo & diplomasia ya kweli na endelevu.

Najua umeng'atuka kwa sababu ya hasira za mwanachama wa chini, kama kawaida yenu. Imagine ungekuwa kiongozi mkuu wa chama hicho "ulimong'atuka," ukweli si uongo, ungefanya kama wenzako au zaidi yao. Wenzako wameona opportunity, wewe unaona impossibility. Mr Mzungu kaondoka, kawapa fomyula. Sijui kama huwa mnamwelewa yule au mnamshangilia tuu alimradi?

Alisema, "Naondoka. Sijakimbia vita. Nabadili tu uwanja wa mapambano!" Hiki ndicho wanafanya wanasiasa wenu hawa waliomwelewa vizuri Mr Mzungu --- Mr Hai & Mr Heavy & Mr Shikamoo.

Halafu, sasa unang'atuka hadi lini? Au mpaka hivi vizazi vipite, kama alivyosema fulani?
 
Mna safari ndefu ya KUJIFUNZA SIASA ZA UHALISIA zaidi ya hizi zenu za HISIA.

Mnapenda sana kurahisisha SIASA za upinzani kwa vigezo vyepesi vya "kiimani" yaani ni kama vile mnawaaminisha WAFUASI wenu kuwa "mnafanya utukufu na ukombozi" kama ule wa KIZAYUNI...jambo ambalo si kweli katika SIASA HIZI ZA VYAMA.

Mwenzenu Rais Etienne Tshisekedi anaamua kuvunja MAHUSIANO na chama cha akina mh.Kabila....kwani WANACHOKIANGALIA na KUKITANGULIZA si "IMANI" bali FACTS za LOBBYING.

Ninyi mnalialia na kukata TAMAA khaaaaa.
 
Mna safari ndefu ya KUJIFUNZA SIASA ZA UHALISIA zaidi ya hizi zenu za HISIA....

Mnapenda sana kurahisisha SIASA za upinzani kwa vigezo vyepesi vya "kiimani" yaani ni kama vile mnawaaminisha WAFUASI wenu kuwa "mnafanya utukufu na ukombozi" kama ule wa KIZAYUNI...jambo ambalo si kweli katika SIASA HIZI ZA VYAMA....

Mwenzenu Rais Etienne Tshisekedi anaamua kuvunja MAHUSIANO na chama cha akina mh.Kabila....kwani WANACHOKIANGALIA na KUKITANGULIZA si "IMANI" bali FACTS za LOBBYING......

Ninyi mnalialia na kukata TAMAA khaaaaa.......
Dah! Wakikuelewa hawa!?
 
Kwenyé siàsa mtu akifanya maamuzi kama haya, mimi hufikiria haya; Lililofanyika Halijamnufaisha mtoa maamuzi haswa kipesa na kiumaarufu.

Huwa najiuliza 'Endapo viti maalumu ingekuwa ni wanaume, je Chadema wale top leaders wangesusia nafasi au wangechaguana!?
 
Hongera kwa uamuzi makini; ila bado najiuliza hili linawezekana vipi mahali tulipoambiwa uamuzi ule umefikiwa na wanachama wote kwa asilimia zote?

Hili linathibitisha wanachama wameburuzwa kufikia uamuzi ule.
Ambapo inazidi kuthibitisha kwamba siyo chama bali ni kampuni binafsi ya biashara
 
Kwenyé siàsa mtu akifanya maamuzi kama haya,mimi hufikiria haya;Lililofanyika Halijamnufaisha mtoa maamuzi haswa kipesa na kiumaarufu.

Huwa najiuliza 'Endapo viti maalumu ingekuwa ni wanaume, je Chadema wale top leaders wangesusia nafasi au wangechaguana!?
Hapohapo! Usibadili mada mkuu
 
Kwa sasa upinzani halisi ni CHADEMA tu. Wanaishi katika kile wanachokisema na kukiamini.

CHADEMA wanasema kilichofanyika October, 2020 ni uchafuzi uliovuka mipaka yote ya kidemokrasia toka kuwepo kwa taifa la Tanzania. Na wamesimamia hicho hicho mpaka sasa.
KINA HALIMA NA WALE 18 WALIFUKUZWA KISANII KUTULIZA KELELE ZA MASHABIKI WENYE MIHEMKO WA MITANDAONI
taarifa itakuwa "kamati kuu CHADEMA yawasamehe Mdee na wenzake, waendelea na ubunge wao kama kawaida,
KWA WASIOJUA SIASA ZA TZ WATABISHA
 
Back
Top Bottom