Nothing special mahondaw wangu... Just figuring out what meaning is the picture bringing...
Nasema huyo mwanamke mpaka anakibali kupigwa picha kama hiyo.. Basi hata kuchapw na huyo aliyempiga picha ni rahisi...
Hamna kinachoendelea
Wapenzi[emoji205]Ninataka kufahamu uhusiano wa mpiga picha na mpigwa picha.
Anaweza, usikute hapo kuna watu wapo nyuma ya camera mkuu
[emoji6] [emoji6] [emoji6]@nyangei unavamia kazi za watu.
Ila umeeleweka
Na cameraman unamuacha wapi wakati bila yeye project isingekamilikaMshiriki alikuwa mmoja tu[emoji23][emoji23]
Nipewe nin mimi[emoji23] [emoji23] on my way [emoji125] [emoji125] tunaanzia wapi sitting, chumbani ama bafuni.?Karibu
....mmmmh ndio wapi hukoKijijini kwetu. Uhayani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AseeeeUsifunge tu pm yako[emoji12]
......mmmmmhKumbe nalipa eee[emoji23][emoji23][emoji23]