Super women 2
JF-Expert Member
- Nov 16, 2016
- 5,164
- 6,535
Kijijini kwetu. UhayaniNimekubali aisee
Hapo ni Makambako au?
Uhusiano uliopo ni wa kupigana tu picha, basi. Hakuna kumezeana mate.Ninataka kufahamu uhusiano wa mpaga picha na mpigwa picha.
Usifunge tu pm yakoKijijini kwetu. Uhayani
Haki ww ungekuwa mpiga picha ungeweza baka,uvumilivu wa hali ya juu bunahitajikaDamn!!!! Hapa nipo wapi na joto lote hili la Dasilama,
UwiiiiiiiiiiiiiiIi nafwaaaaa, Si Sawa ujue
Kumbe nalipa eeeUsifunge tu pm yako
Hilo siyo swali, maswali halisi utauliza pmKumbe nalipa eee
Kuna kitu kinaitwa mchecheto hasa inapotokea ghafla bila kutegemea, yani nimeshika simu ila na bonyeza app ya Jf nakutana na hizo picha kama post ya kwanza , imebidi nigande.Haki ww ungekuwa mpiga picha ungeweza baka,uvumilivu wa hali ya juu bunahitajika
Hilo siyo swali, maswali halisi utauliza pm
kufanyaje tena pm. Wakati unaniona tu hapahapa unaridhikaKuna kitu kinaitwa mchecheto hasa inapotokea ghafla bila kutegemea, yani nimeshika simu ila na bonyeza app ya Jf nakutana na hizo picha kama post ya kwanza , imebidi nigande.
Ila sio poa. Utafanya tujaze huko inbox.
Moshi.Huko ni wap hali ya hewa inahasisha ivo
Mwambie akupe code
Naona unakuwa jeuri, ngoja nikuitie mwenyekiti na katibu Wa mabazazi, hao najua utaenda nao Sawa.kufanyaje tena pm. Wakati unaniona tu hapahapa unaridhika