Super mom

Nimtafakari amedochwaje, amewezaje beba mimba na amejifungaje akili yangu ikaniambia photo shop
 
wamemwongezea majukumu mazito
 
Maisha ni safari ndefu ishi upendavyo!
 
nilimuonaga kwenye documentary flani hivi,she had two kids
indeed she is..
 
Sio fotoshop. Aliugua akiwa mdogo akaktwa miguu. Actually ni fundi magari, ameolewa na kama sikosei ana 2 kids. Madaktari walimkataza asizae akagoma.
Nimtafakari amedochwaje, amewezaje beba mimba na amejifungaje akili yangu ikaniambia photo shop
 
Sio fotoshop. Aliugua akiwa mdogo akaktwa miguu. Actually ni fundi magari, ameolewa na kama sikosei ana 2 kids. Madaktari walimkataza asizae akagoma.[/QUOTE yeah ni mama wa watoto wawili na amebobea ufundi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…