Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
Usia, Nasiha za Mtume Syedina Muhammad Salatu wasalam 3aleyhi :- Mtu gani mbora kwako ?Anahitaji sifa za kipekee
Mama yako .. Mama yako .. Mama yako (( 3times ))
WaSwadaka Al-RaousL al-karim.
Usia, Nasiha za Mtume Syedina Muhammad Salatu wasalam 3aleyhi :- Mtu gani mbora kwako ?Anahitaji sifa za kipekee
wamemwongezea majukumu mazito
Sio fotoshop. Aliugua akiwa mdogo akaktwa miguu. Actually ni fundi magari, ameolewa na kama sikosei ana 2 kids. Madaktari walimkataza asizae akagoma.
Well,super mom
Hapo wakupewa sifa ni mwanaume aliyevutiwa naye hadi kumtundika mimba! He is a super man.the power of a woman........
I love my mom....
Hapo wakupewa sifa ni mwanaume aliyevutiwa naye hadi kumtundika mimba! He is a super man.
Then where is he?Hapo wakupewa sifa ni mwanaume aliyevutiwa naye hadi kumtundika mimba! He is a super man.
Anahitaji sifa za kipekee