Super Gorgeous !!

Hivi kuna tofauti gani kati ya 'beautiful' na 'gorgeous'....huyu dada ningemuita beautiful...gorgeous mmh mmh!
 
Ngoja nikamnunulie ile Rav 4 5 doors inayotangazwa na Petera
 
Last edited by a moderator:
Hiyo picha yangu umeipata wapi Boflo, hiyo ilikuwa kabla sijaanza kutotoa 🙂
Madam...umetotoa vifaranga wangapi? Kutotoa isiwe sababu ya kuachia tumbo la mfumuko kama wa bei za bidhaa.
 
Last edited by a moderator:
Sisi wengine size hizo hatumind sana. hasa nikiona hizo Clavicles mhnnnnn -unaweza weka kikombe kizima cha maji
 
nimetafuta kasoro nimekosa,ngoja niseme tu kwenye uzuri anajitahidi ila io mifupa imesimama nadhani atakua anaumwa rickets,kiddin
 
huyu kaumbwa au kashushwa?? bila shaka kazaliwa kwa operesheni huyu
 
Mnachotakiwa kumtukuze bwana kwa uumbaji
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…