mimi na safari sound ooh na safari soundWana OSS baadae walikuja na mtindo wao wa 'ndekule',
Wana OSS baadae walikuja na mtindo wao wa 'ndekule',
Asante kwa dondoo kiongozi, maana ya kale dhahabuKweli kaka, Dukuduku ni mtindo wa Ndala Kasheba, walipokuja wakina Gurumo, Abel Bartazar, Bitchuka nk ndio Maalim Gurumo akaja na huo mtindo wa Ndekule, yeye Gurumo ndio alikiwa mtaalam wa kutoa mitindo yenye majina ya Kizaramu, kama. Msondo, Sikinde na hiyo Ndekule