Super coach mziray afikisha mwaka mmoja leo tangu atutoke | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Super coach mziray afikisha mwaka mmoja leo tangu atutoke

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Oct 30, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Oct 30, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,441
  Likes Received: 5,694
  Trophy Points: 280
  Super coach syllsaid mziray mzee wa ngebe leo amefikisha mwaka mmoja rasmi tangu atutoke mwaka jana
  uongozi na wachezaji wa yanga unawapa pole kwa ndugu na jamaa wote wa mziray na ushindi wetu wa jana
  ni kwa ajili ya supercoach wetu hayati s mziray
  mungu akuweke mahali pema pepon wasalimie saidi mwamba kizota na wote huko


  bwana ametoa bwana ametwaa jina la bwana libarikiwe
   
Loading...