Super breakfast za kishua na za kitaa

Super breakfast za kishua na za kitaa

A Breakfast for Dinner Adventure_ Recipes to Try.jpeg
 
Kama hii viazi choma hii ukipata na maziwa halisi ya ng'ombe.
Big up labda hizo fried utumie mafuta ya asili like mawese, samli, mafuta ya samaki hapo nitakula adi nilalepo kwenye meza. Big up kutufanya tuishi by abstract, let us visualize this or manifestation in our life
Big up kutufanya tuishi by abstract, let us visualize this or manifestation in our life💪🏿💪🏿💪🏿😀😀
 
Vingi nilivyopost ni vya wenzetu.. Ambapo kama mbongo akila hivyo anapiga ndefu mpaka jioni.. 🤣 yaani mchana unapita wima bila shida yoyote kabisa
Sisi zetu ni simple sana
Rice and beans stew with some fried plantain.jpeg
 
Kwa wanaume tuu (wamama hapa kaeni mbali) jaribuni hii simple breakfast kwa wiki moja tuu.. Mtakuja hapa kunipa minyota yangu😀
a65cbee3-2da6-49bb-8bfa-4d136572cb2d.jpeg
Tantalizing Treats🤤.jpeg
 
Back
Top Bottom