Super breakfast za kishua na za kitaa

Super breakfast za kishua na za kitaa

da135349-58a1-4d48-9eb2-c70955064ebe.jpeg
 
All are fried foods and starches Bora supu ya samaki, kuku ,matunda and vegetables ningekubali kinyama.
Hizo oil lubricants sio nzuri kabisa na ndio mana mavitambi hayaishi, Kuna muda unakuwa na hela Ila hela yako inakumaliza mwenyewe.

Mhogo uliochemshwa, yai la kuchemsha, karanga pembeni za kukaanga ama za kuchemshwa na maziwa ya ng'ombe halisi ya kienyeji asikuambie hii kitu , kuku wawe wale wanaojitafutia chakula wenyewe wanapata natural not man made vitamins
 
Nimeweka mixer mbona..
Hearty & Easy Hamburger Soup Recipe.jpeg
e0347168-3d24-4a77-878c-5006404a65c4.jpeg
Simple and hearty breakfast served.jpeg
ad9eb862-4a03-4bf8-878d-ddb4567f74b4.jpeg
 
Waliojitafuta..waliojipata tayari.. Nyoronyoro wasiofanya kazi ngumu..na wasiopenda unene.. Ila wamenona hao🤣
15f553eb-d6a6-4218-b39a-2d4e1950a5ad.jpeg
 
Back
Top Bottom