Super black

Nimekupenda bure
Katika vyumba vya nyumba napenda dinning room yaani vyombo unakuta mpaka unaona raha kula.
Na mwanamke anaependa vyombo vizuri
I don't mind putting few qiuds from my pocket every few months.
My type of a lady wow
 
wow !had raha !yeah ht mm hubby nimembadilisha kwenye vyombo aisee ! yaan i can imagine unapenda sawa sawa na mm !safi sana kaka !
mimi ni vyombo na mashuka !nakuwa km mwehu vile
 
Hao wanubi ni kutoka nchi gani, wana rangi nzuri hasa walivotupia mavazi meupe
 
wow !had raha !yeah ht mm hubby nimembadilisha kwenye vyombo aisee ! yaan i can imagine unapenda sawa sawa na mm !safi sana kaka !
mimi ni vyombo na mashuka !nakuwa km mwehu vile
Napenda kuangalia ubunifu wa watu kwenye pinterest na niko zaidi upande wa gardening na vyombo
I love flowers i mean flowers.
Unajua hakuna kitu kizuri kama kupata mtu ambaye mko na interest zote pamoja.

Kama umemuweka sawa hubby wako well done.
 
aisee ni nadra mno kukuta men anapnda mambo haya mbnn mkeo ana raha namna hyo ! i love flowers too ! tena mno tu !safi sana kaka !
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…